Rais wa AC Milan ya Italia amesitisha mpango wa kujenga uwanja wa klabu kwa sababu hii….
Rais wa klabu ya AC Milan ya Italia Silvio Berlusconi ambaye awali alikubali kuwa katika mipango ya kujenga uwanja mpya wa klabu hiyo na kuachana na mpango wa kuendelea kutumia uwanja…
Snoop Dogg na biashara ya Marijuana… huu ni mipango wake mwingine utakaoanza October!!
Baada ya kutengeneza mamilioni ya pesa kwenye biashara ya muziki rapper Snoop Dogg aliona bora awekeze kwenye vitu tofauti kidogo na biashara ya muziki na kujiunga na biashara ya mitandao...…
Hii ni good news nyingine mtu wangu wa nguvu kwa soka la Tanzania (+Pichaz)
Ni good news nyingine kwa maendeleo ya soka la Tanzania, baada ya vyombo vingi vya habari Tanzania kupigia kelele suala la baadhi ya vilabu vya soka Tanzania kushindwa kufanya vizuri…
Headlines baada ya headlines!! Tyga karudi tena na Video ya ‘Scandal’…
Rapper Tyga amerudi kwenye headlines za burudani baada ya kuachia mdundo wa ngoma yake mpya 'Scandal'..staa huyo ametoa video mfululizo ndani ya mixtape yake ya 'Fuk wat they talkin bout'.…
Barakah Da’ Prince alipataje mafanikio?, collabo Joh Makini na Davido? Shetta na dawa za kulevya?..#255
Tumeyashuhudia mafanikio makubwa ya msanii Barakah Da' Prince kwenye game ya Bongo Fleva, leo 255 imepiga nae stori kuhusu safari ya muziki wake ilikoanzia... Barakah amesema alivyoanza muziki alikua mbunifu sana, uwezo…
‘Dodo’ ya Davido tayari ipo kwenye headlines za burudani..(Audio)
Staa wa muziki kutoka Nigeria Davido ameachia single yake mpya ya 'Dodo' uliopo katika album yake mpya ya 'Baddest' Karibu uisikilize hapa mtu wangu.. https://www.youtube.com/watch?v=dtGHox7id4g&hd=1 PAPO KWA PAPO…
Rick Ross matatani, kufunguliwa kesi ya ubakaji!
Rapper anaeunda kundi la Maybach Music Group Rick Ross yupo matatani kupelekwa tena mahakamani lakini time hii kwa kesi nyingine tofauti, kesi ya ubakaji! Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ…
Hekaheka ya Mgonjwa kudai apewe damu ya mtu kwa mganga imenifikia…(Audio)
Hekaheka ya leo inatokea maeneo ya Kigamboni Dar es salaam, Geah Habib amezungumza na Mganga ambaye amekutwa na sintofahamu wakati akimtibu mgonjwa wake mwenye mashetani. Mganga huyo amesimulia na kusema…
Behind the scenes ya video mpya ya Yemi Alade ‘Sugar’ nimekusogezea hapa…Pichaz
Staa wa Nigeria Yemi Alade ameendelea kujipatia mafanikio kupitia Industry ua muziki wake. Kwenye album yake ya 'Kings of Queens' Yemi Alade wakati wowote ataachia video yake mpya inayoitwa 'Sugar'…
Mapenzi yanaumiza na wengine wanashindwa kuyahimili maumivu.
Ni binti Wanjiru Kamanda wa miaka 21 tu ndio amefanya mpaka nimeiandika hii taarifa hapa, alikua mapenzini na kijana Farid Mohammed (24) lakini sasa hivi mapenzi yao yamekuwa habari nyingine.…