Nabii aliamini atafufuka na nguvu za kupambana na mapepo, akazikwa akiwa hai.. Kilichofuatia je?
Nimekutana na stori hii kutoka Zimbabwe inamhusu Nabii mmoja kutoka nchi hiyo kufariki akiwa kwenye mishemishe za kupata nguvu za ziada ili akemee mapepo. Nabii huyo Shamiso Kanyama alifatwa na familia moja wakamuomba aje nyumbani kwao…
Mke wa zamani wa Bob Junior kwenye uhusiano mwingine? Yuko na nani?? #UHeard
Jana alisikika msanii wa Bongo Fleva, Imbella aliyesema kuwa ana uhusiano na mke wa zamani wa Bob Junior ambaye anaitwa Halima, leo Soudy leo kamtafuta Halima.. wakapiga story nyingi lakini Soudy akatupia swali,…
Unajua sababu iliyofanya Afande Sele akafukuzwa Jeshi? Kipaji cha Langa kiligundulika lini?…#255 (Audio)
Kesho ni June 13.. ni siku ya Kumbukumbu ambayo alifariki mmoja wa rappers wakali waliowahi kutokea TZ, Langa ambae alifariki June 13 2013.. leo anasikika Mama mzazi wa msanii huyo…
Kingine kutoka kwenye Hekaheka hizi mbili >> Mganga aliyetapeli kwamba anafufua watu.. Ishu ya housegirl aliyemuumiza mtoto
Timu ya #LeoTena imeahidi kufuatilia na kuendelea kukusogezea mwendelezo wa Hekaheka mbili zilizowahi kusikika siku zilizopita. Kuna Hekaheka ya Mganga aliyetapeli watu hela kwamba ana uwezo wa kufufua watu waliofariki, hela…
Baada ya ofa ya kwanza kupigwa chini, Man City watuma nyingine kumpata Sterling
Zikiwa zimebaki siku takribani 18 kabla ya dirisha la usajili barani ulaya halijafunguliwa rasmi. Klabu ya Manchester City baada ya kuporwa ubingwa wa England sasa imeanza kujipanga upya ili kurudisha…
Maamuzi mengine ya DC Paul Makonda kuhusu ishu ya migogoro ya ardhi Kinondoni
Matatizo ya Ardhi ni ishu anbazo kwa mjini yamechukua headlines kila siku, watu wanaoishi ni wengi lakini ardhi ni kama haitoshi kila mmoja kumiliki sehemu yake, Mkuu wa Wilaya ya…
Utapenda kuona T.I Feat. Chris Brown kwenye collabo nyingine? – “Private Show”
Zimepita siku chache toka Rapper T.I kutoka Marekani adondoshe ngoma yake mpya ambayo ndani yake amemshirikisha R&B Superstar kutoka hukohuko Marekani, Chris Brown. Ngoma hiyo inaitwa Private Show na kama unatamani kuona nini kipya…
Floyd Mayweather si hajawahi kushindwa? Yuko huyu kwenye mapambano 210 kashinda mapambano 9 tu !!
Watu na record zao mtu wangu.. Unajua kwenye wanaosifiwa kwa kushinda wako ambao wanashindwa pia !! Nimempata huyu mmoja, yeye record yake iko kinyumenyume yani.. Floyd Mayweather hajawahi kushindwa hata…
Watalii wanapojikuta na hatia kwa kesi ya kuvua nguo juu ya Mlima !!
Kuna wakati watu wengine sio kwamba hawapendi watalii au hawapendi utalii kwenye nchi yao, Utalii unakuja na vingi ikiwemo utamaduni mgeni.. Ukiwa maeneo ya Beach hivi kukutana na Watalii wakiwa…
Yemi Alade tena kwenye headlines..karudi na video hii ‘Pose’ feat. Nugeez
Siku chache zilizopita staa wa Nigeria Yemi Alade aliweka behind the Scenes ya video yake mpya ya 'Pose' ambayo sasa tayari imetoka rasmi. Katika video hiyo iliyofanyika Nigeria pamoja na…