FC Barcelona Vs Levante matokeo ninayo hapa (+Pichaz&Video)
Klabu ya FC Barcelona imeshuka dimbani September 20 kucheza mechi dhidi ya klabu ya Levante katika uwanja wa nyumbani wa FC Barcelona Nou Camp. Wababe hao wa Hispania hadi kipindi…
Full Time: Man Utd vs Southampton na Liverpool vs Norwich Sept. 20.
Ligi kuu ya Uingereza Premier League imeendelea jioni ya September 20 2015 kwa game mbili kupigwa ikiwa ni Southampton vs Man United pia Liverpool vs Norwich. Manchester United ilifanikiwa kuchukua…
Full Time: Simba vs Kagera Sugar na mechi nyingine za bongo Sept. 20
Simba SC September 20 imerejea katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam kumkaribisha mgeni Kagera Sugar huku nahodha wake Mussa Hassan Mgosi akiwa jukwaani, Simba ambayo hadi sasa imecheza mechi mbili…
Line Up ya Simba SC Vs Kagera Sugar ziko hapa na Mkude kupewa pesa na mashabiki (+ Pichaz)
Kabla ya kuanza kwa mechi ya tatu ya klabu ya Simba ya Ligi Kuu Tanzania bara ambayo ya kwanza kwa msimu huu ikicheza taifa kama uwanja wake wa nyumbani dhidi…
Video mpya: Don Jazzy kashirikishwa na Tolu >>> ‘Ifemi’
Don Jazzy baada ya kufanya vyema katika single zake, karudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kushirikishwa kwenye collabo ya 'Ifemi' na msanii Tollu kutoka Nigeria. https://www.youtube.com/watch?t=30&v=JdWVUYbBnEk&hd=1 PAPO…
Luke Shaw na Van Gaal wamekatisha mpango wa beki huyu wa Man United kuhamia Monaco.
Beki wa kimataifa wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Argentina Marcos Rojo amesitisha mpango wake wa kwenda katika klabu ya Monaco baada ya kukaa na kufanya mazungumzo…
Wanawake weusi wanaoingiza pesa nyingi zaidi duniani kwa mwaka 2015 !
Katika list ya jarida la Forbes ambalo mara nyingi hutoa list ya watu na pesa zao, Mtangazaji wa TV Mmarekani Oprah Winfrey alishikilia nafasi ya kuwa mwanamke mwenye kipato kikubwa…
Kumbe Ryan Giggs sio mbadala wa Louis van Gaal!!! huyu ndio anatajwa kuchukua nafasi yake 2017.
Baada ya kocha wa sasa wa klabu ya Manchester United Louis van Gaal kusema kuwa mipango yake ya kustaafu soka baada ya miezi 18 ijayo iko pale pale, wengi walianza…
Mechi sita, kashinda mechi mbili, kafungwa tatu na sare moja, mipango ya Mourinho ipo hapa..
Baada ya kuanza vibaya kwa Ligi Kuu Uingereza kwa upande wa klabu ya Chelsea, kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho inaripotiwa kuanza mipango mbadala ya kuimarisha kikosi chake, Chelsea ambayo…
Headlines nyingine ya Picha ya Selfie iliyosababisha kifo cha mtalii huyu…
Matukio ya watu kupoteza maisha au kujidhuru wakati wakijipiga picha wenyewe, maarufu kama Selfie yamekuwa yakiripotiwa mara kwa mara. Mwezi Mei mwaka huu, headlines zilikuwa Moscow baada ya mwanamke mmoja…