Rekodi mpya za Ronaldo na matokeo ya Real Madrid vs Shakhtar nimekuwekea hapa
Msimu mpya wa ligi ya mabingwa wa ulaya umefunguliwa leo rasmi kwa michezo 8 kuchezwa katika viwanja tofauti barani humo. Mabingwa wa kihistoria wa kombe hilo, klabu ya Real…
Aunt Ezekiel kayazungumza haya kuhusu kuondoka UKAWA kuhamia CCM….(Audio)
Ni stori inayoendelea kuchukua healines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu Aunt Ezekiel na Vicent Kigosi, sasa leo Sept 15, 2015 ripota wa millardayo.com alikutana na Aunt Ezekiel na kueleza sababu zilivyomfanya…
Majibu ya Mourinho kuhusu mfululizo wa matokeo mabovu na kuelekea mechi dhidi ya klabu ya Maccabi Tel Aviv..
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ambaye ni mtaalam wa kucheza na saikolojia za makocha na wachezaji wa timu pinzani ili aweze kushinda, kwa sasa yupo katika wakati mgumu…
Picha 5 kutoka ndani ya Studio ya Clouds FM wakati DJ Fetty anatangaza kuacha kazi ya utangazaji…
Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia…
P Square wameamua wanunue nyumba nyingine ya kuishi ndani ya Atlanta Marekani..
Mapacha wawili, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye, Dunia inawafahamu kwa jina la P Square kupitia sanaa ya muziki wanaoufanya... kwenye moja ya Interview wakiwa Nigeria waliwahi…
Kwenye stori kubwa za Uganda usipitwe na hii ya Ndoa ya Bibi wa miaka 70 na kijana wa miaka 27
Dunia ina mambo, wapo wanaokubaliana na msemo kwamba umri ni namba tu na sio kitu cha kujali sana unapokuwa kwenye suala la mapenzi. Stori kwenye kurasa za Magazeti Uganda, kichwa…
Azam FC na Mtibwa Sugar ndio vilabu pekee vilivyotimiza vigezo vya kupata leseni ya klabu kwa 95% (+Audio)
Klabu za Ligi Kuu soka Tanzania bara bado hazijakidhi vigezo vya kupata leseni ya kudumu ya vilabu, kupitia kwa mkuu wa idara ya habari wa shirikisho hilo Baraka Kizuguto amethibitisha…
Tyga kaja na hii Video yake mpya ‘Clarity’…
Rapper Tyga amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video yake mpya ya wimbo wa 'Clarity'. Wimbo huo upo katika albamu yake mpya inayoitwa 'Fuk wat they talkin…
Marais wa Africa wanaoongoza kuwa na umri mkubwa wako hawa kumi na picha zao..
Kuna stori za baadhi ya Viongozi wa Africa kung'ang'ania kukaa madarakani hata baada ya vipindi vyao vya uongozi kuisha, pia wako ambao wanaendelea kuongoza kihalali kutokana na mabadiliko ambayo wameyafanya…
Boss wa BMW alivyojikuta akianguka mbele ya Camera za Waandishi wa Habari jukwaani.. (Pichaz+Video)
Ajali popote, ukiangalia pichaz na video za hii stori utaamini kwamba ajali haichagui mahali kwa kutokea... Boss wa Kampuni ya Magari ya BMW, Harald Krueger alijikuta akianguka kwenye stage mbele ya…