Hii ni rekodi inayoipeleka Juventus kinyonge katika mechi yake dhidi ya Man City…(+Pichaz)
Klabu ya Juventus ya Italia tayari imewasili jijini Manchester kwa ajili ya mchezo wake wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya klabu ya Manchester City katika mechi yake ya…
Utatamani kuyaona mazuri ya Nigeria 2016? Na huu mjengo kama wa Marekani utakuwepo !! (Pichaz)
Kwenye list ya nchi ambazo zina uchumi mzuri zaidi Africa, Nigeria imo… YES, yani hata ukizitaja tatu bora nayo imo… Nigeria imetajwa kama nchi yenye uchumi mzuri mwaka 2015 na…
Lowassa na viongozi, JK na RICHMOND, Mikoa na vipodozi haramu + Maafisa wa usalama TAA? (Audio)
Uchambuzi wa magazeti @CloudsFM umekupita? Tayari ninazo zile zote zinazoweka headlines magazetini leo 15 September 2015 baadhi zikiwa... Dar, Mbeya na Arusha zatajwa kuongoza kwa matumizi na uuzaji wa vipodozi…
Jamaa kakosea kutuma ujumbe ukaenda kwa Polisi ili apatiwe dawa za kulevya…kilichofuata?
William Lamberson raia wa Florida,Marekani amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kutuma ujumbe wa maneno kwa Polisi akidhani ni rafiki yake. Ujumbe huo ulilenga kutaka apatiwe dawa za kulevya kutoka…
Picha 12 kutoka mitaa ya Japan baada ya kutokea mafuriko makubwa…
Tanzania ni moja ya nchi zilizowahi kushuhudia maafa ya mafuriko, uharibifu mkubwa kuanzia kwenye makazi ya watu, miundombinu pamoja na watu kufariki ni matukio ambayo kila ikitokea mafuriko basi lazima…
Aunt Ezekiel na Ray wamehamia CCM ?, Steve Nyerere kayazungumza hapa…
Ni stori ya kisiasa ambayo ilianza kuchukua headlines kwenye mitandao mbalimbali kuhusu wasanii wawili wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Vicent Kigosi aka Ray kuondoka UKAWA na kuhamia chama cha…
Magazeti ya Tanzania Septemba 15, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Septemba 15, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…
Chris Brown awashambulia TMZ na kumsema mwanzilishi wake…!!
Wasanii wengi wa Marekani sio washabiki wakubwa wa website ya TMZ na mmoja ya wasanii hayo ni R&B Superstaa Chris Brown. Chris Brown amekuwa akisikika sana akiwashambulia TMZ kwa taarifa…
Lil Wayne na Christina Milian waachana..!? Sababu? Ninayo yote hapa…
Baada ya kuachana na mchumba wake miaka miwili iliyopita mwimbaji wa R&B Christina Milian alianza kuonekana sana na rapper Lil Wayne baada ya kujiunga na lebo ya msanii huyo, muda…
Picha 12 za mgombea ubunge wa jimbo la Kinondoni akitoa sera kwa wananchi…
Ziara za wagombea nafasi za Ubunge kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado inazidi kuchukua kasi,upande wa Chama Cha Mapinduzi na mgombea wa ubunge Idd Azan Sept 13 alikuwa akizungumza na…