Serena Williams apoteza ushindi kwenye mechi ya U.S Open, Drake alaumiwa…!!
Staa wa mchezo wa Tennis, Serena Williams na superstaa wa muziki wa Hip hop Drake wamekuwa topic kwenye mitandao mingi baada ya tetesi nyingi kusambaa kuwa wawili hao wapo kwenye…
Wanawake 30 walikamatwa kwa kosa la kujiuza Nigeria, hukumu yao ni hii toka Mahakamani !!
Vitendo vya Wanawake kufanya biashara ya kujiuza sio story ngeni kukutana nayo, nchi zimekuwa na maamuzi tofauti kuhusu kesi ya Wanawake wanaofanya Biashara hiyo, Ujerumani hiyo ni biashara halali na…
Ratiba ya Sept 12 na 13 ya Ligi Kuu Tanzania, Uingereza, Hispania na Italia zipo hapa mtu wangu…
Baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa, weekend ya September 12 na 13 kuna michezo za kadhaa ya Ligi Kuu mbalimbali inachezwa huku kwa Tanzania September 12 ndio siku ya…
Chris Brown alitaka haki zote juu ya mtoto pia, je kafanikiwa!? Mahakama imeamua haya…
Baada ya mgogoro mrefu kati ya Chris Brown na mama wa mtoto wake Nia Guzman sasa Mahakama ya Houston imetoa maamuzi na utaratibu wa jinsi ya kukaa na mtoto Royalty…
Taarifa kuhusu ajali iliyotokea kwenye Msikiti Mkuu Saudi Arabia…
Hii taarifa imegusa Vichwa vya Habari vya Vyombo vingi vya habari Duniani, inahusu ajali ambayo imetokea wakati watu wakiwa ndani ya Msikiti Mtakatifu wa Mecca, Saudi Arabia ambako waumini wengi…
Magazeti ya Tanzania Septemba 12, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Septemba 12,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
Kocha Van Gaal kamtetea Anthony Martial ?? Cheki na pichaz Martial alivyoyaanza maisha Uingereza..
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal amemtetea mapema mshambuliaji mpya wa klabu hiyo Anthony Martial kuwa itachukua muda kuizoea Ligi Kuu Uingereza, hivyo wasitegemee kuanza kwa kufanya vizuri au…
Yanga kuwatumia wachezaji wake wa kigeni, vipi kuhusu kuwalipia dola 2000 kila mmoja? …
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF lilianzisha sheria ya kuvitaka vilabu vya Ligi Kuu Tanzania bara, kulipa dola 2000 kwa kila mchezaji wa kigeni ili apate leseni. Sheria hii…
Ninazo nchi 5 zinazoongoza kwa Uchumi Barani Afrika….
Najua nina watu wangu wanataka kufahamu ni nchi ipi inayoongoza kwa Uchumi barani Afrika, sasa basi leo nimekusogezea nchi 5 zinazoongoza kwa Uchumi barani Afrika; Nafasi ya tano (5) imetajwa…
Headlines za msanii wa bongo fleva anayejihusisha na biashara ya uuzaji wa chakula…
Wataalamu wa mambo wanasema biashara ya Chakula pamoja na biashara ya nyumba ikifanywa vizuri ni biashara ambayo itakupa utajiri, mabibi na mabwana stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Mo…