Serena hakufurahia kumshinda dada yake? Jibu kalitoa kwenye kipisi cha video hapa
Ushindi ni furaha, ushindi ni kitu kizuri… Serena Williams ni staa wa Mchezo wa Tennis, siku chache zilizopita aliibuka na ushindi mzuri kwenye Michuano ya US Open, baada ya kumshinda…
Ninazo nchi 10 zinazoongoza kwa rushwa Duniani….
Najua nina watu wangu wanataka kufahamu ni nchi ipi inayoongoza kwa rushwa duniani, sasa basi leo nimekusogezea nchi 10 zinazoongoza kwa rushwa duniani; nafasi ya kumi ni Eritrea Nafasi ya…
Huyu ndio Rais mwenye umri mdogo zaidi duniani….
Wakati headlines za Uchaguzi sasa zikuchukua nafasi kuanzia kwenye Magazeti, TV, Radio na sehemu nyingine za kutolea habari sio mbaya ukifahamu pia kuhusiana na Rais ambaye anatajwa kuwa na umri…
Hizi ni dalili za David de Gea kuongeza mkataba Manchester United? wakala na familia yake waongeza uvumi…
Joges Mendes ni wakala wa wachezaji soka lakini ndiye mtu anayetajwa kuwa na nguvu kubwa katika mpira wa miguu, hususani katika masuala ya uhamisho wa wachezaji kutoka timu moja kwenda…
Neyo kaimba kiswahili kwenye single mpya ya Diamond?, majibu yako hapa
Siku zote nitahakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa stori ninayotaka kukupatia ni hii kutoka kwa mtayarishaji Sheddy Clever ambaye alizichukua headline hivi karibuni baada ya kutayarisha single mpya ya…
Nimekusogezea pichaz 26 za Mkutano wa Ukawa Dodoma Kibaigwa 10 sept
Toka tarehe 29 August ulipofanyika uzinduzi wa kampeni Ukawa bado wameendelea kusogea sehem mbali mbali za kuwafikia wananchi na leo Sept 10 Mkoani Dodoma katika wilaya ya Kongwa mji mdogo…
Mengine kuhusu Louis van Gaal na wachezaji wa Man United…
Kocha wa Manchester United Louis van Gaal alijiunga na klabu ya Man United toka mwaka 2014 akichukua mikoba ya David Moyes aliyetimuliwa kazi. Imeripotiwa kuwa Van Gaal sio kocha rafiki na…
Baada ya ushujaa wa kuokoa watu 170 kwenye Ndege iliyowaka moto, Rubani kaamua haya..
Stori kubwa kutoka Las Vegas Marekani September 09 2015 ilikuwa ishu ya Ndege ya British Airways kuanza kuwaka moto katika Uwanja wa Ndege wakati ikiwa na abiria 159 ndani pamoja…
Shabiki alienda kwenye show ya Meek Mill na bango la Drake… Kilichofuata!? (Video).
Siku chache zilizopita Meek Mill aliweka headlines Brooklyn Marekani baada ya kumshambulia shabiki aliyekuwa ameshika bango la Drake kwenye tamasha la Fool's Gold Day Off Festival tamasha ambalo Meek Mill…
Real Madrid wako tayari kumuuza Cristiano Ronaldo kwenda PSG, ila…
Klabu ya Real Madrid ya Hispania ni klabu ambayo inasifika kwa kupenda kununua wachezaji kwa gharama ya juu maadam iwe inamuhitaji basi itatoa fedha ili kukamilisha usajili wake. Headlines ambayo ipo…