Idadi ya wanaoutaka Urais FIFA yaongezeka…Huyu mwingine katangaza nia!!
Uchaguzi wa Rais wa Shirikisho la soka duniani umepangwa kufanyika Februari mwakani na tayari kuna baadhi ya wanamichezo wamejitokeza kuwania naasi hiyo. Wengine ni Rais wa shirikiso la soka barani Ulaya…
Paul Kagame anarudi Madarakani mwaka 2017? Hii hapa kutoka Mahakamani Rwanda..
Mahakama Kuu Rwanda imepokea Shauri kutoka Vyama vya Upinzani Rwanda ambavyo vinahitaji Rais Paul Kagame asigombee Urais kwa awamu nyingine tena baada ya kumaliza awamu mbili za kuiongoza Nchi hiyo.…
Hizi ni sababu za viongozi wa Tottenham Hotspur kumkataza mchezaji huyu kununua gari lenye rangi nyekundu…
Klabu ya Tottenham Hotspur ambayo makao makuu yake ni jiji la London imemzuia winga wa kimataifa wa Korea Kusini Son Heung-Min kununua gari lenye rangi nyekundu. Spurs ambao wanajiandaa na mchezo wa…
Ishu ya Kassim Mganga kutapeli show Iringa ni kweli? Stori ipo kwa Soudy Brown..#Uheard (Audio)
Soudy Brown leo kapiga Stori na DJ mmoja ambae amesema kwamba staa wa Bongo Fleva, Kassim Mganga ilikuwa akafanye show Iringa lakini tayari alikuwa amepewa hela kwa ajili ya show nyingine Njombe. Wakati…
Kiwanda cha Tanganyika packers kurudi?, majibu yako hapa…
Inawezekana ulikuwa na maswali mengi kuhusu shughuli za viwanda nchini kikiwemo kile cha Tanganyika Packers sasa basi leo tumempata majibu kwa Katibu mkuu wa wizara ya Viwanda na Bishara, Uledi…
Pichaz TBT za mastaa wako Kanye West, Jay Z,Chris Brown,Beyonce ninazo hapa mtu wangu…
Hapa nimekuwekea TBT za mastaa mbalimbali wanaofanya vizuri katika industry ya muziki duniani. Unaweza kuzitazama hapa mtu wangu.. PAPO KWA PAPO zipate…
Nicki Minaj aweka historia Las Vegas, atajwa kuwa msanii wa kwanza wa kike wa hiphop kupewa zawadi hii…! (Pichaz)
Nicki Minaj ni mmoja kati ya wasanii wa kike kwenye muziki wa Hip Hop wanaofanya vizuri sana na wenye ushawishi mkubwa sana duniani. Licha ya wimbo wake wa Anaconda kupokea…
Kombe la shirikisho kurejea Tanzania, pichaz za uzinduzi na mengineyo vipo hapa..
Hii ni good news nyingine katika soka la Tanzania, Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF September 10 limetangaza kuingia mkataba na Azam Sports wa kudhamini na kurudisha kombe la shirikisho…
Majibu ya Roma Mkatoliki baada ya single yake mpya kuzuiliwa kuchezwa kwenye vituo mbalimbali
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila stori inayonifikia na hapa ninayo stori iliyochukua headlines Sept 9,2015 ya msanii wa Hip Hop kutokea 96.0 (Tanga) Roma Mkatoliki ambaye single yake mpya…
Harmonize na safari yake ya muziki, Tudd Thomas kazungumzia afya yake..#255 (Audio)
Harmonize amezungumza kwenye 255 na kusema alianza kutambulishwa mwaka 200o wakati Mrema anagombea Ubunge kupitia TLP, anasema kipindi hicho alikua na umri mdogo lakini watu walikua wakimkubali sana wakati akiimba…