Good news nyingine kwa timu zitakazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2015/2016.
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF pamoja na afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura wametangaza September 9 kuingia katika makubaliano ya udhamini na mfuko wa Bima…
Ebola imesahaulika Sierra Leone? Hapana, haya ni mengine kutoka huko…
Moja ya matukio ambayo yaliibuka na kutikisa Dunia ilikuwa ni ishu ya Ugonjwa wa Ebola, haikuwahi kushuhudiwa Ugonjwa ambao umesababisha vifo vya watu wengi kama Ebola ilivyofanya ndani ya kipindi…
Ugomvi wa Young Killer na Edo Boy umefikia hapa…#Uheard (Audio)
Ugomvi wa Young Killer na Edo Boy umezidi kuchukua nafasi..leo Edo Boy amezungumzia na Soudy Brown na kusema alikua akipita zake na kushangaa Young Killer anamuita na kuanza kumtukana matusi.…
Kama imekupita na hujaiona bado, nimeileta kwako ‘Rap Star’ mpya ya kwake Tyga. (Video).
Tyga amekuwa akifululiza sana kutoa videos, kila baada ya wiki chache staa huyo anasogeza kwetu ngoma mpya. Wiki hii Tyga anaileta kwetu 'Rap Star' video yake ipo hewani tayari na…
Wiz Khalifa na Snoop Dogg wanaisogeza kwako collabo yao mpya kabisa; ‘No Social Media’ – (Audio).
Wiz Khalifa kwenye headlines, baada ya kutoa 'video teaser' ya movie yake mpya siku chache zilizopita msanii huyo amerudi kutupa burudani. Umeshawahi kuwaza collabo ya Wiz Khalifa na Snoop Dogg…
Meek Mill kwenye nafasi nyingine ya juu Marekani…
Baada ya album yake 'Dreams Worth More Than Money' kushika namba moja kwenye chati ya Billboard 200 July 5 mwaka huu, rapper Meek Mill anaendelea kuweka headlines na wimbo wake…
Hatma ya Shilole, Yamoto kuja na band ya Taarab,Gharama ya Video mpya ya Bele9..255 (Audio)
Kwenye zile headlines za 255..Hivi karibuni Shilole na Ommy Dimpoz walielekea Marekani kufanya shoo, lakini huku nyuma kuna fununua kuwa kifungo cha Shilole kinaendelea..NuhuMziwanda amezungumza na kusema masuala ya Shilole na…
Diamond katajwa tena kwenye tuzo nyingine kimataifa… pembeni Davido, Yemi Alade & AKA!
Msanii wa Bongo Flava Diamond Platnumz anazidi kuipeperusha bendera ya Tanzania, Tuzo nyingi sana zinazidi kutambua juhudi na kazi ya Diamond kwenye muziki wa Tanzania. Good news kwako mtu wangu,…
Serena Williams kaendeleza ubora dhidi ya dada yake..sasa kucheza nusu fainali kesho na…
Serena williams ameendelea kuwa bora zaidi duniani baada ya kumshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele. Serena ambaye anashika nafasi ya kwanza…
Amani kutoka +254 Kenya kwenye ubora wake na kitu kipyakipya mtu wangu… Heartbreaker (Video)
Amani kutoka pande za Kenya +254 amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya single yake mpya inayoitwa 'Heartbreaker'... Amani sio jina geni Africa, number ya hits…