Ushauri wa Arsene Wenger kwa Thierry Henry kama anataka kupata mafanikio katika ukocha…
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambaye amewahi kumfundisha Thierry Henry kama mchezaji wake kwa miaka mingi, Wenger amemshauri Thierry Henry kama kweli ana nia ya dhati…
Picha 10 kutoka uwanja wa Tangamano Tanga kwenye kampeni za Urais za Mh.John Magufuli
Kasi ya Wanasiasa kuzungumza na wapiga kura wao kwa sasa ndiyo stori ambayo inazungumzwa karibu kila kona ya Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ambapo kwa Tanzania tutakua tunamchagua…
Mrembo wa Balotelli bado anaenjoy na kiungo huyu wa Senegal (+Pichaz)
Wakati mshambuliaji wa Italia na klabu ya AC Milan Mario Balotelli akiwa na wakati mgumu katika maisha yake ya soka, kwa kutokufanya vizuri msimu uliyomalizika katika klabu ya Liverpool kitu…
Askofu Gwajima ameyajibu haya>>> Rushwa kwa Maaskofu, uongo, Dk. Slaa, mke na watoto.. Lowassa na mengine..
Siku chache baada ya aliyekuwa Kiongozi wa Chama cha CHADEMA, Dk. Wilbrod Slaa kutangaza kwamba ameamua kuachana na Siasa, hiyo ilikuwa siku kadhaa baada ya Dk. Slaa kutoonekana kwenye Mikutano…
Pichaz 29 ya kinachoonekana katika ukarabati ndani ya uwanja wa Uhuru…
Uwanja wa taifa wa zamani ambao kwa sasa unajulikana kama uwanja wa Uhuru au shamba la bibi, umefungwa kwa muda mrefu ili kupisha ukarabati wa uwanja huo, kwa muda mrefu…
Nimekusogezea na hizi nyumba 10 kali zilizojengwa ndani ya maji mtu wangu…(Pichaz)
Kati ya vitu ambavyo huwa vinanivutia nia aina ya nyumba na jinsi zilivyojengwa kwa ufundi mkubwa. Leo nimekusogezea hizi nyumba ambazo zimekuwa zikitumiwa na watu bila wasiwasi wowote huku zikiwa…
Ninayo good news kutoka kwa bondia Francis Cheka iko hapa….
Unakumbuka ile ishu ya bondia wa ngumi Francis Cheka ya kumpiga na kumuumiza meneja wa baa yake akimtuhumu kusababisha hasara? Sasa good news ninayotaka kukusogezea ni kwamba bondia huyo wa mchezo wa masumbwi akiwa…
Tume ya uchaguzi imepokea rufaa ngapi kutoka kwa Wabunge na Madiwani?, stori iko hapa..
Tukiwa bado kwenye headlines za Uchaguzi 2015, taarifa kutoka tume ya Uchaguzi NEC imesema imepokea rufaa za wabunge na Madiwani wa Halmashauri. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa huduma za kisheria…
Kuhusu Kipre Bolou, hali ya Shomari Kapombe na Allan Wanga viko hapa kuelekea mechi ya Jumamosi (+Audio)
Wakati shirikisho la soka Tanzania TFF likithibitisha kuanza kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara siku ya Jumamosi ya September 12 na kudai mpango wa kuwataka vilabu viwalipie wachezaji wa kigeni…
Kipaji kingine cha mbwa… jamaa akaona amtumie kumshikia wine yake…(Pichaz&Video)
Mbwa ni moja ya wanyama wanaopewa nafasi kubwa ya kuwa karibu na binadamu na mara nyingi kwa nchi za kwetu wamekuwa wakitumika kama walinzi. Lakini kwa wenzetu mbwa amekuwa sehemu…