Taarifa kutoka ofisi ya Takwimu kuhusu mfumuko wa bei wa taifa mwezi Agosti, 2015
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo aliitisha mkutano wa vyombo vya habari leo Sept 8 kutoa taarifa ya…
Haya ni mengine kuhusu Ferrari iliyozawadiwa na Tyga kwa mpenzi wake…
Ferrari ya Kylie Jenner kwenye headlines, baada ya kuzawadiwa gari hilo na mpenzi wake Tyga kwenye birthday yake, gari hilo limeleta fujo na kuweka headlines nyingi sana Marekani. Mitandao haswa blogs…
Ripoti ya TFF kuanza kwa Ligi Kuu, vipi kuhusu dola 2000 kwa wachezaji wa kigeni? vipo hapa..(+Audio)
Bado siku nne Ligi Kuu soka Tanzania bara ianze, vilabu vilikuwa katika harakati za usajili wa wachezaji na mapumziko ya mechi za kimataifa, lakini jumamosi ya September 12 Ligi Kuu Tanzania…
Rabbit na kipato kingine nje ya muziki, alichokisema Ben Pol kwenye ‘Birthday’ yake…#255 (Audio)
Kwenye zile headlines za burudani kutoka kwenye 255 amesikika Rapper Rabbit ambapo wikiend hii amezindua maji yake ya kunywa,..amesema muziki kwake ni biashara na umempa nafasi ya kufanya vitu vingine…
Mtoto kapigwa na kuumizwa kwenye ubongo Dar…#Hekaheka ina Stori yote (Audio)
Hekaheka imekua ikituletea matukio mbalimbali yanayotokea katika jamii zetu..Hekaheka ya leo inatokea Maramba Mawili Mbezi,Dar es salaam kuna mtoto wa miaka mitatu amepigwa sana na sasa amelazwa ICU, Muhimbili. Mama…
50 Cent kwenye headlines, atangaza kuisha kwa nyumba yake iliyopo Africa! (Video)
50 Cent siku zote ni mtu wa masuprise tu mtu wangu, mwezi July rapper huyo alitangaza kuwa amefilisika na idadi ya mali nyingi alizonazo si zake bali ni mali za…
#RIP mtu mfupi zaidi Duniani, anaefatia kushika rekodi hiyo ??
Headlines zilibeba stori kubwa November 13 2014 kuhusu Sultan Kosen, raia wa Uturuki ambae ndio mtu mrefu zaidi Duniani pamoja na Chandra Dangi Raia wa Nepal ambaye alikuwa anashikilia Rekodi…
Wiz Khalifa alifundishwa na mama yake kuvuta Bangi ??? Nyumbani hali ilikuwa hivi…
Wiz Khalifa ni Rapper ambaye ni mzazi mwenzake na Mwanamitindo Amber Rose, wote ni mastaa wenye majina makubwa Duniani... Kuna Majimbo Marekani wameruhusu Bangi kuwa kilevi halali kabisa lakini kwingine…
MARANDO kalazwa Muhimbili,LOWASSA, MAGUFULI, Dr.SLAA na GWAJIMA, wanafunzi wafariki..#StoriKubwa
MTANZANIA Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limekumbwa na kashfa kubwa baada ya watu wawili wanaodaiwa kuwa wahalifu sugu kutoroka katika Kituo cha Polisi Kurasini usiku wa…
Wiz Khalifa na Ty Dolla $ign kuachia movie…!? (Video)
Wiz Khalifa na Ty Dolla $ign wanaziandika headlines siku ya leo, baada ya kuachia collabo yao 'Talk About It In The Morning' mwezi March mwaka huu, wawili hao wana mpango…