Pichaz za mwanzo kutoka Uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, Taifa Stars Vs Nigeria
Kabla ya kuanza kwa mechi ya Taifa Stars Vs Nigeria, nimeona nikusogeze karibu na uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, hali ilivyo muda mchache kabla ya mechi kuanza. Vikosi vya timu…
‘Empire’ imeachia hizi mbili zitakazoonekana kwenye msimu wake wa pili… (Audio + Video).
Empire Msimu wa pili uko njiani mtu wangu, tunahesabu siku chache kufikia tarehe 23 September ili tuweze kuenjoy ile series iliyoshika headlines kubwa sana duniani! Kama wewe ni shabiki mkubwa…
Maneno ya Kylie Jenner kuhusu umaarufu na washambuliaji wake kwenye Instagram…
Tunapowaona mastaa kwenye mitandao na social networks huwa tunaona na kuhisi kuwa kila kitu kuhusu maisha yao kimekamilika na wakati mwengine huwa tunahisi kuwa mastaa wengi hutumia nafasi walionayo kufanya…
Huku Mr.Flavour kule P. square kwenye hii Video ‘Sexy Rosey’…
Staa wa Nigeria Mr.Flavor amewashirikisha mastaa wawili mapacha wanaounda kundi la P square katika video yake mpya inayoitwa 'Sexy Rosey'. Video imeongozwa na Godfather. Nakukaribisha hapa kuitazama. https://www.youtube.com/watch?v=-6ZRNag3Zd0 …
List ya wachezaji watano ambao hupaswi kuwaamini mbele ya Girlfriend wako..
Hii ni kwa mujibu wa mtandao wa bleacherreport.com iliwahi kutoa ripoti ya wachezaji kadhaa ambao hupaswi kuwaamini kwa mpenzi wako. Hadi kufikia mwezi October mwaka 2011 hawa ndio wachezaji waliyokuwa…
Mke mwingine wa Dr.SLAA afunguka,TZ bila Nyumba za nyasi,rafu za UKAWA,mabango ya LOWASSA..#StoriKubwa
NIPASHE Viongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, wamekemea wagombea wa vyama vya siasa wanaotumia lugha za kashfa katika kampeni hali inayoweza kutishia uvunjifu…
Ratiba ya michuano ya AFCON 2017 Weekend hii ipo hapa mtu wangu..
Hatua ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON2017) kundelea weekend hii katika viwanja tofauti tofauti barani Afrika, Nimeona nikusogeze na ratiba ya mechi za Septemba 5 na 6 za…
Ni Belle Nine tena,kwenye kionjo cha video yake Mpya…
Soko kubwa la wasanii wa Tanzania kwa sasa wanajitahidi sana kuwekeza upande wa video na kiukweli mabadiliko yanaonekana kabisa namna ambavyo wasanii wetu wanavyotumia gharama kwenye muziki huu ambao kwa sasa…
Magazeti ya Tanzania Septemba 5, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosi Septemba 5,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote…
2 Chainz karudi na nyingine mpya; ‘Everything I Know’ – (Video).
Baada ya kuachia 'Lap Dance in the Trap House' na 'Neighborhood' kutoka kwenye mixtape yake mpya 'Trapavelli Tri', 2 Chainz anaziandika headlines jumamosi hii na wimbo mwingine mpya. 'Everything I…