Uliipata hii ya David James kupewa adhabu na kocha ya kuendesha gari ya matairi matatu? kilichofuata….
Wazungu wana vitu vingi sana vya kushangaza tofauti na sisi kwetu Afrika, wapo wazazi wa kizungu wana tabia ya kutumia mfumo wa kidemokrasia ili kumkanya mtoto. Katika mpira wa miguu…
Ugonjwa wa Ebola kwenye Headlines tena Sierra Leone…Idadi ya watu je?
Sierra Leone ni moja ya nchi zilizoshambuliwa na ugonjwa wa kipindipindu kwa kiasi kikubwa, na Mwezi Mei mwaka huu Serikali ya nchi hiyo ilitangaza kutokuwepo kwa ugonjwa huo. Taarifa nyingine…
Sharobaro wa Kihaya kwenye tuhuma za ukaribu na mke wa rafiki yake..Soudy Brown ana majibu haya!!Uheard (Audio)
Soudy Brown kapata tetesi kuwa staa wa kipindi cha vichekesho cha Futuhi kinachorushwa na StarTV Sharobaro wa Kihaya amekuwa na uhusiano na mwanamke wa rafiki yake..akaona apate ukweli kuhusu malalamiko…
Jambo Squad wamekuja na Mgahawa wao, Roma Mkatoliki kuja na ‘Roma viva’, Nahreel Je?..255 (Audio)
Kweye zile zilizosikika kwenye 255 leo, kundi la Jambo Squad waliwahi kusema hawaamini maisha mazuri yanapatikana Dar tu kupitia muziki na sasa wameamua kufungua Mgahawa Arusha.wamesema wanataka kuona wanafika…
Weekend hii Janet Jackson angependa wimbo huu uwe kwenye playlist yako; ‘Unbreakable’ (Audio).
Baada ya kuachia video ya wimbo wake 'No Sleep' aliomshirikisha J Cole kutoka kwenye album yake mpya 'Unbreakable', Janet Jackson amerudi tena kuziandika headlines zake kwenye kurasa za burudani. Good news…
Rais wa Nigeria kaamua kutangaza mali zake… anahusishwa na ufisadi? Stori ninayo hapa
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa ana $150,000 (£100,000) kwenye akaunti zake za benki, katika hatua inayolenga kupiga vita ufisadi katika nchi yake. Kiasi hicho cha fedha kinaonyesha amekuwa…
Hii ndio sababu iliyomfanya Justin Bieber adondoshe machozi kwenye usiku wa MTV VMA’s 2015.
Baada ya kuweka headlines nyingi usiku wa tuzo za MTV VMA's mwaka huu na show iliyoisha kwa machozi, Justin Bieber kaamua kuzungumza sababu zilizompelekea kuangusha machozi akiwa katikati ya show…
Ajali nyingine ya nyumba kuteketea moto Dar imesikika kwenye Hekaheka…(Audio)
Wiki chache zilizopita kulitokea ajali mbaya ya moto iliyoteketeza familia ya watu tisa Dar es salaam. Usiku wa kuamkia leo tukio jingine la moto limetokea eneo la Mwanayamala na kuteketeza…
Wachina na njia mpya za kulipa bili za vyakula…
Najua kuna wale watu wangu wanaopenda kutoka kila weekend kula good time na watu wao huku wakipiga stori mbili tatu.. lakini ikifika wakati wa kulipa watu wanakimbia bili na usipokaa…
Ripoti ya Taifa Stars kuhusu majeruhi, hali za wachezaji ipo hapa…
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Charles Boniface Mkwasa ameonge na vyombo vya habari kuhusu maendeleo ya timu na hali za wachezaji siku moja kabla ya mechi…