Nimekusogezea Pichaz 10 za Dr Slaa akizungumza na vyombo vya habari Sept. 1
Dr. Wilbrod Slaa leo amezungumza na vyombo vya habari katika hotel ya Serena na kuzungumza mambo mazito kuhusu ukimya wake. Nimekuwekea Pichaz 10 wakati akizungumza na waandishi wa habari…
Sentesi 57 za Maneno mazito aliyozungumza Dk SLAA kwa WAANDISHI wa Habari leo…
Dr.Wilbrod Slaa leo amezungumza na waandishi wa Habari Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbali yaliyomfanya kuwa kimya ndani ya Chama chake cha CHADEMA. Hapa nimekuwekea maneno aliyokuwa akiyazungumza mbele ya…
Baada ya kumkosa John Stones, Chelsea yamsajili beki huyu wa Senegal kutokea Ufaransa
Klabu ya Chelsea ya Uingereza ambayo kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikituma ofa zaidi ya tatu za kuomba kumsajili beki wa klabu ya Everton ya Uingereza John Stones bila…
Jux na msichana ampendae, Madee na tangazo la dawa ya meno + Nuh Mziwanda na biashara mpya. #255. (Audio).
Kwenye #255 leo amesika msanii wa Bongo Flavani Jux ambaye leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa, Jux amesema leo ni siku muhimu kwake na kusherekea siku hii ataweka wazi barua…
Chelsea yaendeleza utamaduni wake wa kumtoa Moses kwa mkopo, sasa tutamuona katika klabu hii…
Baada ya Song kujiunga na klabu ya West Ham United kwa mkopo wa muda mrefu, ni msimu wake wa pili kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo akitokea FC Barcelona ya Hispania,…
Song karudi West Ham United, vipi Adebayor anafuatia? picha hii ya uhusishwa…..
August 31 na Septemba 1 ni siku ambazo habari nyingi za michezo barani Ulaya zitatawaliwa na headlines za usajili, kwani dirisha la Usajili kwa Hispania na Ufaransa linaripotiwa kufungwa, lakini nchini Uingereza bado…
Alishauriwa kwenda Oman kutafuta maisha, miezi 4 badaae stori ni nyingine! #Hekaheka. (Audio).
Kwenye heka heka ya leo @CloudsFM na Gea Habib ilikuwa inamhusu mdada mmoja alienda Oman kufanya kazi za ndani na kutafuta maisha lakini baada ya muda dada huyo alirudi Tanzania kwa…
Hili ndio Oven la computer ambalo halihitaji mpishi wala maelekezo! + (Video).
Kama kungekuwa na uwezo wa kutumia Computer kupika chakula maisha yangekuaje? Au kama simu yako ingekuwa na uwezo wa kupokea ujumbe wa kukutaarifu kuwa chakula chako kipo tayari maisha yangekuaje!?…
UKAWA wamtikisa SITTA, Sheria ya mitandao, NCHIMBI, Mauaji ya kutisha Arusha,Gari la Polisi..StoriKubwa
MWANANCHI Baada ya kimya cha zaidi ya mwezi mmoja na kutoonekana hadharani, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa anatarajia kuzungumza na vyombo vya habari leo nane mchana jijini hapa.…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 9 ya Tanzania Septemba1, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…