Ugomvi wa Young Killer, Edo Boy kuna haya mengi mapya kutoka kwao yamemfikia Soudy Brown..#Uheard
Wiki iliyopita Soudy Brown alizungumzia ugomvi wa Edo Boy na Young Killer hadi kupelekana Polisi, leo tena unaendelea. Baada ya Edo Boy wiki iliyopita kugoma kuzungumza, leo amezungumza na kusema…
Kanye West atangaza nia ya kugombea Urais mwaka 2020…(Video).
Kanye West na Kim Kadarshian walikua miongoni mwa mastaa waliohudhuria tuzo za MTV Video Music Awards 2015... na siku zote watu wamezoea kupokea vituko kutoka kwa Kanye viwe vya kufurahisha…
Jokate, Ice Price kwenye Video ya ‘LeoLeo’, Collabo ya Jua Cali na Chege yakamilisha albamu..255(Audio)
Ice Prince amesema anatamani sana kuja kufanya kazi kwenye majukwaa ya Tanzania ingawa mpaka sasa Jokate analalamika ameshindwa kuja kufanya collabo yake ya 'LeoLeo', Jokate amesema amekua akizungumza na uongozi wake.na…
Kauli za Oliver Giroud kuhusu Arsenal kutaka kumsajili Karim Benzema kwa pound milioni 50….
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Arsenal ya Uingereza Oliver Giroud ambaye wengi wamekuwa wakimlaumu kocha wa Arsenal Arsene Wenger kuwa hawezi kutwaa ubingwa akiwa na mshambuliaji huyo…
Tukio la watu 9 kuteketea kwa moto Dar, haya mengine yamezungumzwa…#Hekaheka (Audio)
Siku ya Alhamis iliyopita kulitokea ajali mbaya ya moto maeneo ya Buguruni na kuteketeza familia ya watu tisa. Timu ya Hekaheka ilitembea nyumba iliyotekea kwa moto na kukuta majirani wakiwa…
Hapa ninzao picha za mastaa kwenye red carpet ya tuzo za MTV Video Music Awards (VMA’s).
Stori kubwa kwenye headlines za burudani nchini Marekani ni tuzo za MTV VMA's 2015, kwenye headlines za tuzo hizo zipo performances za wasanii waliotamba kwenye stage, mastaa waliofanikiwa kuondoka na tuzo…
Huyu ni mbadala wa Javier Hernandez katika klabu ya Man United…….
Klabu ya Manchester United bado ipo katika dakika za mwisho kutafuta mbadala wa mshambuliaji wa Mexico aliyekuwa kwa mkopo wa muda mrefu katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Javier…
‘Cheza kwa Madoido’ ya Yamoto Band tayari ipo hewani mtu wangu!!…(Video)
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya 'Cheza kwa Madoido' chini ya Mtayarishaji GodFather. Diamond Platnumz ndiye aliyefanikisha video hiyo kwa kiasi kikubwa kuweza…
Na washindi wa Tuzo za MTV VMA’s 2015 ni… Orodha yote ya washindi ninayo hapa! + (Video)
Jumapili ya tarehe 30 August 2015 ilikuwa siku kubwa na ya muhimu kwenye ulimwengu wa burudani kwani tuzo za MTV Video Music Awards 2015 zilichukua headlines kubwa sana jijini Los…
Idadi ya wapiga kura wa LOWASSA, MAGUFULI na ilani ya UKAWA, ZITTO Waziri Mkuu,CHILIGATI?..#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na vyama vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amesema kama Watanzania watashindwa kufanya mabadiliko kwa kupiga kura kuing’oa CCM madarakani mwaka huu, hawataweza…