Ikufikie mtu wangu taarifa ya Jose Mourinho kuhusu suala la usajili…
Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho amekiri kuwa na furaha na kikosi chake cha sasa ila kauli hiyo bado inazua maswali ni kweli hatasajili, ana furaha na kikosi chake?…
Ninayo hapa makundi ya UEFA Europa League mtu wangu…….
August 27 ni siku ambayo yalipangwa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Monaco Ufaransa, droo ya kupanga makundi hayo iliambatana na hafla ya utolewaji wa tuzo ya mchezaji bora Ulaya.…
Manuel Pellegrini athibitisha kumkosa nyota huyu kwa sababu hii…….
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ivory Coast anayeichezea klabu ya Manchester City ya Uingereza Wilfried Bony August 28 amepost picha katika mtandao wa Instagram inayomuonesha akiwa anatembelea magongo huku mguu wake ukiwa…
Maneno ya ZITTO KABWE kwa waandishi wa Habari LEO kabla ya uzinduzi wa kampeni J2.
Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni…
Jordan Ayew kwenye headlines ya kutoka kimapenzi na mke wa mchezaji mwenzake wa Ghana
Mshambuliaji mpya wa Aston Villa Jordan Ayew ambaye ni mdogo wa Andre Ayew ameingia katika headlines ya kutoka kimapenzi na mke wa mchezaji mwenzake wa timu ya taifa ya Ghana Afriyie…
Usafiri wa anga bila uwanja wa ndege ukoje!? Marekani kuja na ubunifu mpya ‘VTOLs Aircrafts’ itazame hapa! (Video)
Sio siri kuwa foleni za airport huwa zinakera wakati mwengine haswa ukiwa unataka kusafiri kutoka mji moja kwenda mwengine na ndio maana wenzetu wa Marekani wanaona suluhisho la tatizo hili ni…
Ukweli wa Linex kuchukuliwa RB kisa deni la Kabati na TV upo kwa Soudy Brown… #Uheard (Audio)
Kwenye Uheard ya leo Taarifa zilizomfikia Soudy Brown ni kuhusu mfanyabiashara wa vifaa vya furniture kumchukulia RB Linex baada ya kuchukua kabati la nguo na TV tangu mwaka jana na…
Mrembo wa Balotelli anatoka na staa huyu wa soka (Pichaz)
Aliyekuwa mpenzi wa mshambuliaji wa kiitaliano na klabu ya AC Milan ya Italia Mario Balotelli kwa sasa ameamua kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na staa mwingine wa soka. Balotelli aliacha…
Kuna maiti 71 zimekutwa ndani ya lori Austria, stori ipo hapa! + (Video).
Headlines zilizonifikia muda huu zinatoka Austria ambako maiti za wahamiaji 71 zimekutwa ndani ya lori lililotelekezwa kwenye njia panda ya barabara. Vyombo vya habari kutoka Austria vinasema kuwa lori hilo liligunduliwa na baadhi…
Tottenham Hotspur wamsajili nyota huyu kutoka Ujerumani (Picha)
Siku za kufungwa kwa dirisha la usajili Uingereza bado zinahesabika na kila klabu inajiandaa kufanya usajili wake wa mwisho kabla ya dirisha la usajili halijafungwa. Klabu ya Tottenham Hotspur ya…