Lionel Messi atangazwa kuwa mchezaji bora wa Ulaya 2014/2015.(Picha&Video)
Hatua ya upangwaji makundi ya UEFA yaliambatana sambamba na kumchagua mchezaji bora wa mwaka wa Ulaya, waliyokuwa wanawania tuzo hiyo ni Lionel Messi, Cristiano Ronaldo na Luis Suarez. Lionel Messi ametangazwa…
Haya ndio makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2015/2016
Baada ya kuanza kwa Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya, August 27 ni siku ambayo yanapangwa makundi ya klabu bingwa Ulaya kwa msimu wa 2015/2016. Makundi hayo tayari yamepangwa katika droo…
Ninayo kauli ya Arsene Wenger kuhusu suala la usajili katika klabu ya Arsenal…..
Kocha wa klabu ya Arsenal ya Uingereza Arsene Wenger ambaye amekuwa akiwakwaza mashabiki wa klabu hiyo kwa tabia yake ya kutopenda kutoa fedha nyingi ili apate mchezaji wa kiwango cha…
Kundi maarufu la muziki; ‘One Direction’ kutengana…?! Ukweli huu hapa.
Niall Horan, Liam Payne, Harry Styles na Louis Tomlinson pamoja wanaunda kundi maarfu la muziki 'One Direction'. One Direction ni kundi kutoka Uingereza ambao kwa pamoja wamekuwa wakifanya muziki kwa…
Wabunge wa upinzani Zimbabwe hawakumuacha Rais MUGABE hivi hivi…
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuzomewa na wabunge wa vyama vya upinzani wakati akilihutubia Taifa akiwa bungeni. Wabunge wa upinzani wa nchi hiyo…
Haya mengine kuhusu hatma ya Oscar Pistorius kuachiwa gerezani..
Kamati itakayoamua ikiwa mwanariadha wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius ataachiwa kutoka gerezani, inatarajiwa kukutana tarehe 18 mwezi ujao. Mwanariadha huyo alizuia kuachiliwa siku ya Ijumaa wiki iliyopita kama ilivyokuwa imetarajiwa. Waziri…
Cristiano Ronaldo kafanya hili tena kwa muhanga wa tetemeko la ardhi Nepal (Picha)
Mwezi April kulitokea tetemeko la ardhi Nepal, tetemeko ambalo liliua watu wapatao 9,000. Miongoni mwa watu waliokuwa wahanga wa tetemeko hilo ni kijana mwenye umri wa miaka 13 Jetin Shrestha ambaye wakati…
Hii ni mipango ya FC Barcelona kuhusu Neymar kuhamia Man United
Klabu ya Manchester United bado inasaka nyota kadhaa watakaojiunga na kikosi chao ili kuweza kuongeza nguvu na kucheza kwa kiwango cha juu. Man United ambayo kwa hivi karibuni ilimkosa Pedro…
Na DJ’s wanaolipwa zaidi kwa mwaka 2015 ni…? ‘Electronic Kings’ wajue hapa. (Pichaz + Video).
Mara kwa mara nimekuwa nikikusogezea orodha ya waigizaji bora duniani au msanii mwenye hela ndefu zaidi duniani au hata wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani... na najua kote huko ulikaa karibu na…
Ni kweli ndoa ya Marlaw na Besta imevunjika? Stori ipo kwa Soudy Brown…#Uheard (Audio)
Soudy Brown kapata tetesi kuwa ndoa ya mastaa wawili Besta na Marlaw imevunjika..na akaona si vibaya kupata ukweli juu ya hilo. Amezungumza na Besta ambaye amesema si kweli kama ameondoka…