Full time ya Liverpool vs West Ham nimekuwekea hapa
Baada ya kuanza ligi vizuri kwa kushinda mechi mbili za mwanzo na kutoa sare moja, klabu ya Liverpool leo imeanza kuonja joto ya jiwe katika Barclays premier league. Wakicheza…
Kilichoikuta Chelsea vs Crystal Palace hiki hapa
Ligi kuu ya Uingereza maarufu kama Barclays Premier League imeendelea leo katika viwanja mbalimbali nchini humo. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Stamford Bridge umemalizika kwa Crystal Palace kuharibu…
Hawa ndio wasanii mbalimbali waliojitokeza viwanja vya Jangwani kwenye kampeni za UKAWA… (picha)
Endelea kukaa na mimi mtu wako wa nguvu kwenye Facebook, twitter na instagram kupitia jina langu la 'millardayo' nakusogezea kile kinachoendelea kutoka kwenye kampeni za UKAWA katika viwanja vya Jangwani…
Kutoka kwenye usiku wa Christian Bella na Yamoto Band (Picha 23)
Ni wajibu wangu mtu wangu kukusogezea kila kinachonifikia na hii nisingependa ikupite, Usiku August 28 ilikuwa ni usiku wa aina yake kwa upande wa burudani na ilitendewa haki na…
Nimekusogezea Pichaz 22 kutoka Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za UKAWA….
Mgombea Urais wa UKAWA Edward LOWASSA muda si mrefu atazungumza na wananchi katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho,Hizi ni Pichaz za awali katika ufunguzi wa kampeni hizo. PAPO…
Hukumu ya waandishi hawa baada ya kutangaza habari za uongo…
Mahakama ya Misri imewahukumu waandishi watatu wa kituo cha runinga cha Al jazeera kwenda jela miaka mitatu. Hukumu hiyo ilitolewa baada ya waandishi hao Mohamed Fahmy, Peter Greste na Baher…
Ninayo ratiba ya Ligi Kuu Uingereza na Hispania ya August 29 na 30 mtu wangu…..
Ligi Kuu mbili zinazopendwa zaidi ukanda wa Afrika Mashariki Ligi Kuu Hispania na Uingereza August 29 na 30 kuna michezo kadhaa inapigwa katika viwanja tofauti Hispania na Uingereza . Nakusogeza…
Chris Brown na tattoo mpya kichwani, hii ndio maana yake…!
Siku chache zilizopita Chris Brown aliweka headlines kwenye Instagram na kwenye mitandao baada ya kuongeza tattoo mpya mwilini mwake... kilichotushangaza zaidi tattoo hiyo haijawekwa sehemu yoyote ile mwilini mwake bali…
Abiria apigwa risasi kwenye daladala, UKAWA, Zitto alia rafu, Mwakyembe na Richmond..#StoriKubwa
MWANANCHI Mtu mmoja amefariki dunia na mwingine kujeruhiwa wakati watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliposimamisha daladala eneo la Jangwani na kuingia ndani kupora mkoba unaosadikiwa kuwa na fedha. Watu hao,…
Magazeti 16 ya Tanzania August 29 2015, habari kubwa za udaku, michezo na hardnews
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 28,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko…