Nahreel kufungua chuo cha Production? Ukimya wa Juru? kurekodi Video au audio Kenya ni kiasi gani?.. #255 (Audio)
Producer mkali Bongo, Nahreel kumbe yupo kwenye mpango wa kufungua chuo cha Production ya muziki?? amesema mafunzo ya production yataanza hivi karibuni na yatachukua wanafunzi wengi ambao wanahitaji kujifunza mambo hayo. Nahreel…
Trevor Noah yupo tayari kurithi kiti cha ‘The Daily Show’. (Video).
Mchekeshaji kutoka South Africa Trevor Noah aliweka headlines kubwa sana Africa na dunia nzima miezi michache iliyopita baada ya yeye kutangazwa kuwa mtangazaji mpya wa kipidi cha comedy kiitwacho The…
Hawa ndio wachezaji watoto chini ya Miaka 15 watakaojiunga na Orlando Pirates ya Afrika Kusini..
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF, Jamal Malinzi August 20 2015 ametangaza mpango wa kukuza soka la vijana na hii ni kama mrejesho wa mashindano yaliyofanyika Mwanza…
Matukio ya HekaHeka yaliyopita na mwendelezo wake yamesikika leo…(Audio)
Leo timu ya LEOTENA kupitia HekaHeka wamezungumzia matukio mbalimbali yaliyowahi kusikilizwa kupitia kwenye hekakeka baada ya kuombwa na wasikilizaji... Miongoni mwa Hekaheka ambazo wasikilizaji walitaka kujua mwendelezo wake ni pamoja…
Mengine kutoka Gerezani alikofungwa Oscar Pistorious… Hasira? chakula cha Sumu.. Choo na bafu? Michezo..
Toka Pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela ni October 2014, huenda yapo mengi yaliyoendelea ndani ya gereza na hukupata nafasi kuyajua… Kwa Sheria za South Africa ziko stori toka…
Sauti Sol hawapo nyuma na headlines za Burudani, wamekuja na ‘Shake Yo Bam Bam’…(Video)
Wakati 'Nerea' inaendelea kufanya vyema kwenye headlines za burudani, kundi la Sauti Sol limerudi tena kwenye headlines baada ya kuachia Video ya single yao mpya 'Shake Yo Bam Bam'. Video…
Mayunga ameiachia ‘Nice Couple’.. hii ya kwanza kabisa baada ya Ushindi wake wa #TraceMusicStar- (Video).
Mtanzania aliyeibuka mshindi kwenye shindano la Trace Music Star mbele ya Majaji watatu ndani ya Nairobi +254 ikiwemo Akon, Mayunga anaanza rasmi kutengeneza njia yake kubwa kwenye muziki wa Kimataifa baada ya kuiachia…
Serikali yaizuia CHADEMA, MAGUFULI, LOWASSA wala viapo na Kipindupindu chashika kasi…#StoriKubwa
HABARILEO Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amesema ujivuni wa fedha sio mali kitu, kwani mtu anaweza kununua watu wachache kwa tamaa na njaa zao, lakini hawezi kukinunua chama chote.…
#TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti 10 ya Tanzania August 20, 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa…
Lowassa kamaliza kazi? CHADEMA yazuiwa Uwanja wa Taifa? NEC imejipanga.. CCM je? (Audio)
Kwenye stori kubwa ziko na hizi, headlines baada ya headlines mtu wangu zilizonaswa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania August 20 2015. CCM yatoa ilani yake ikiwemo pi ahadi chache…