Anachokiamini Rafael Benitez kuhusu kiwango cha Gareth Bale
Kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania Rafael Benitez ameamua kuingilia kati ishu inayoendelea kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Wales Gareth Bale na mashabiki ambao wamekuwa wakipiga kelele…
Mjukuu wa Nelson Mandela matatani afikishwa Mahakamani!
Historia ya Nelson Mandela ni historia ya kishupavu iliyosimamia ukweli, usawa na haki na pale mtu anapojaribu kuweka doa kwenye jina la familia ya Nelson Mandela watu hawatakuelewa kabisa. Mjukuu…
Baada ya Marekani na Cuba kufungua Balozi zao, zinafuatia safari za ndege…
Cuba walifungua Ubalozi wao ndani ya Washington Marekani July 20 2015, Marekani nao wamefungua Ubalozi wao ndani ya Havana Cuba August 14 2015, haya matukio yameandika Historia kubwa sana Duniani…
Huyu ni staa mwingine kutoka Ghana aliyejiunga na Chelsea
Jose Mourinho ni miongoni mwa makocha wanaopenda wachezaji wenye asili ya Afrika August 19 2015 habari za kumsajili beki wa kimataifa wa Ghana aliyekuwa anaichezea klabu ya FC Augsburg ya…
Selena Gomez anaisambaza rasmi video ya “Good For You” feat. A$AP Rocky. (Video)
Baada ya kuachia audio ya wimbo wake "Good For You" staa wa muziki Marekani Selena Gomez amerudi kutupa video ya ngoma hiyo ambayo ndani staa wa HipHop A$AP Rocky kutoka Marekani ameshirikishwa.…
Mahakama ya Kisutu ilivyohamia Kituo cha Polisi kilichochomwa moto Bunju kupata Ushahidi… (Pichaz)
Moja ya stori kubwa Magazetini August 19 2015 ni ishu ya Mahakama ya Kisutu kuendesha kesi ya Watu wanaotuhumiwa kuchoma Kituo cha Polisi cha Bunju ‘A’. “Mahakama kwenda kuhsuhudia kituo…
Hii ndio Ratiba rasmi ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara 2015 iliyotolewa na TFF…
August 19 Afisa mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi Boniface Wambura ametangaza ratiba rasmi ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara ambapo Ligi Kuu itaanza Septemba 12 2015 ambapo itakuwa ni…
Nimekusogezea picha 16 za muonekano wa Bandarini Dar es Salaam August 19 2015..
Kazi yangu ni kuhakikisha nakusogezea kila kinachonifikia mtu wangu, najua kuna watu wako Dar es Salaam lakini wako busy na sio rahisi kila mtu akaona mazingira ya Bandarini kulivyo au…
Mirror aliwarekodi Nuh Mziwanda na Wema Sepetu kwenye simu, kilichofuatia je? (U Heard)
Mirror leo kapatikana kwa Soudy Brown, kulikuwa na sauti ambayo ilirekodiwa na kusambazwa mitandaoni anasikika Wema Sepetu na Nuh Mziwanda wakiwa kwenye story za mapenzi, Mirror anasema yeye ndio mhusika aliyerekodi…
Akaunti ya Fid Q imerudishwa? Mo Music na biashara za dagaa, Nay wa Mitego na video za damu…#255 (Audio)
Leo kwenye zile Stori za 255 amesikika Fid Q kuhusu akaunti yake iliyotekwa,,anasema anashukuru akaunti yake kurudishwa, aliyehusika amesikitishwa na alichokifanya, baada ya kugundua amemkosea alisikitika na kuomba msamaha kwa kile…