Rubani kaikosa kazi, akaongezewa na kifungo kutokana na Ulevi kazini..
Usafiri wa anga japo kumekuwa na Ripoti mfululizo kuhusu ajali za ndege lakini bado, usafiri wa anga unaendelea kuwa usafiri salama zaidi Duniani. Sheria, kanuni na taratibu za usafiri wa…
Man City na Valencia wamefikia hapa kuhusu usajili wa Nicolas Otamendi
Klabu ya Manchester City ya Uingereza bado inaendelea kusajili kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Uingereza kwani baada ya kuhusishwa kwa muda mrefu kumtaka beki wa kati wa kimataifa…
Jermaine Dupri na Bow Wow washirikiana kukuletea “WYA – Where You At”. (Video)
Jermaine Dupri na Bow Wow wamerudi tena kwenye headlines za burudani, baada ya kutengana kwa miaka mingi Jermaine na Bow Wow wameungana tena kukuletea burudani ya kipekee kabisa chini ya So…
Nimeipata idadi ya wagonjwa wa kipindupindu hospitali ya Mwananyamala Dar es Salaam
Ni stori ambayo ilianza kuchukua headline tangu asubuhi ya Agosti 18, 2015 kuhusu ugonjwa wa kipindupindu mitandao mbalimbali imeripoti, sasa saa chache zilizopita ripota wa millardayo.com amefika hospitali ya Mwanyamala kuhakikisha…
Maamuzi ya Rais wa Gabon kwa vijana wa Taifa lake yapo kwenye headlines !!
Inafahamika kuwa viongozi wengi wa Afrika wanapenda kujilimbikizia mali na kukaa madarakani ili kuendelea kuongoza nchi zao, wengine husababisha hata nchi kuingia kwenya machafuko ya kisiasa. Kuna hii ya Rais…
Christian Bella & Malaika Music Band kwenye hii mpya ‘Amerudi’….(Video)
Christian Bella amerudi tena kwenye headlines za burudani akiwa na kundi la Malaika Band baada ya kuungana na kufanya Video ya pamoja inayoitwa 'Amerudi'. Video hiyo imefanyika chini ya director…
Balotelli mambo magumu Liverpool, hatma yake imewekwa wazi na Kocha Brendan Rogers
Maisha ya mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli ndani ya klabu hiyo yamezidi kuwa magumu baada ya kocha wa timu hiyo Brendan Rogers kumuweka wazi kuwa hana mipango naye kwa msimu…
Ulitarajia kumuona Benzema kwenye Kikosi cha Arsenal? Kocha wa Madrid kasitisha mipango..
Huku kukiwa na matumaini miongoni mwa mashabiki wa Arsenal juu ya uwezekano wa kumsajili mshambuliaji raia wa Ufaransa Karim Benzema, kocha wa Real Madrid Rafael Benitez amethibitisha kuwa mshambuliaji huyo hatauzwa…
TFF yathibitisha kumkosa mshambuliaji kutoka Uingereza kwa ajili ya kujiunga na Taifa Stars (+Audio)
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF August 18 kupitia kwa afisa habari wa shirikisho hilo Baraka Kizuguto limethibitisha kumkosa mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayecheza katika klabu ya Mansfield Town…
Maneno ya Fid Q baada ya akaunti yake kuvamiwa na jina linalosomeka Wema Sepetu Advert
Akaunti ya Instagram ya Mwana Hip Hop Tanzania Fid Q imevamiwa (hacked) na mtu asiyejulikana na baada ya kuivamia akaibadilisha jina,maelezo ya Fid Q anasema mwanzoni aliiandika Mwanaharakati kisha akabadilisha…