Baada ya kutoka Mbeya, Arusha imempokea hivi Lowassa leo, yeye na watu wake wa CHADEMA… (Pichaz)
Safari ya Mgombea Urais wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa kutafuta wadhamini, baada ya kutoka Mbeya jana, leo August 15 2015 safari imeendelea Arusha. Mkutano unaendelea katika Viwanja vya Tindinagi,…
Kinachoendelea Uwanja wa Taifa, Simba vs URA vikosi vipo hapa
August 15 klabu ya Simba Sports inarudi uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya kirafiki ya kimataifa ambayo safari hii inacheza na klabu inayomilikiwa na mamlaka ya mapato ya Uganda…
Kwenye countdown nyimbo 40 anazosikiliza Rais Obama kwa sasa, midundo ya Reggae na Hip Hop nayo imo..
Ilianza kutoka Ripoti katikati ya Mwezi May 2015 kwamba account ya #Twitter ya Rais Barack Obama ilianza kuendeshwa na yeye mwenyewe tofauti na ilivyokuwa mara ya kwanza ambapo kuna wahusika…
Ukizusha ishu mitandaoni China hawakuachi, hii ndio idadi ya account zilizofungwa kwa kuandika uzushi..
Taarifa rasmi kutoka TCRA ni kwamba Sheria ya Matumizi ya Mitandao itaanza rasmi September 2015 Tanzania, hali iliyopo sasahivi kumekuwa na ishu ya uzushi na uvumi mwingi sana mitandaoni, wapo…
Mzamiaji alifika Sweden salama kabisa, lakini ndoto yake ikaishia hapohapo Uwanja wa ndege..
Jamaa mmoja alijiandalia mazingira poa kabisa ya kuzamia kwenye ndege toka Ethiopia mpaka Sweden… alifika salama lakini hiyo bahati ya kuingia mitaa ya Sweden na kuanza maisha haikuwa upande wake,…
Pichaz nyingine kutoka Mbeya ilivyokuwa kwenye mapokezi ya Lowassa August 14 2015
Mbunge wa Monduli anayemaliza muda wake, Waziri Mkuu wa zamani na Mgombea Urais aliyepitishwa na CHADEMA pamoja na Umoja wa UKAWA, Edward Lowassa alianza safari ya kuzunguka Mikoani kutafuta Wadhamini…
Ugomvi Kura za Maoni? Maandamano? Wanajeshi na Kadi za Kura? ya Daktari feki.. (#StoriKubwa)
MWANANCHI Mawaziri wawili wa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete wameanguka kwenye marudio ya Kura za Maoni zilizofanyika juzi, huku matokeo ya Jimbo la Busega yakikwama baada ya Waziri wa Uvuvi…
Hizi ndio #TWEETS zilizobeba stori zote kubwa kutoka kwenye Magazeti NANE Tanzania August 15 2015
Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya…
Magazeti ya Tanzania Agosti 15, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumamosu Agosti 15,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Hivi ndivyo FC Bayern Munich ilivyoanza kwa kishindo kutetea ubingwa wao.
Ligi kuu ya Ujerumani maarufu kama Bundesliga imeanza rasmi leo kwa mabingwa watetezi wa ligi hiyo FC Bayern Munich kuwakaribisha Hamburg katika dimba la Alianz Arena. Wakicheza mchezo wa…