Barcelona hali mbaya – hiki ndio kipigo walichopokea kutoka kwa Athletic Bilbao
Baada ya katikati ya wiki kupata ushindi wa 5-4 dhidi ya Sevilla katika mchezo wa UEFA Supercup, klabu bingwa ya ulaya FC Barcelona leo wamekutana na kipigo kizito kutoka kwa…
Baada ya kupigwa benchi – hili jingine lilompata De Gea Man United.
Sakata la hatma ya golikipa wa kimataifa wa Hispania David De Gea ndani ya klabu ya Manchester United linazidi kuchukua sura mpya. De Gea ambaye amekuwa akihusishwa na kutaka…
Wasichana 17 waliowahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Cristiano Ronaldo(Picha)
Vimeandikwa vingi sana kuhusiana na Staa wa soka wa Real Madrid ya Hispania na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo, kuhusu kuishi maisha ya kifahari Ronaldo kaandikwa…
Mafikizolo, Black Motion, Beatenberg, wawasili tayari kwa show Jumamosi hii
Najua nina watu wangu wanaopenda muziki wa Afrika Kusini yaani Kwaito sasa basi good news ninayotaka kukusogezea kwamba kundi maarufu la muziki wa kwaito, Mafikizolo limewasili leo Agosti 14 kwaajili…
Nimekuwekea matokeo ya Manchester Utd vs Aston Villa hapa
Kwa mara ya kwanza leo hii katika historia ya Barclays Premier League, mechi ya ligi hiyo imechezwa siku ya Ijumaa - hii imekuja baada ya utaratibu mpya uliopangwa msimu huu.…
Nakukutanisha na Video inayoashiria kuwepo mapenzini Jokate na Alikiba.
Mchana wa leo Aug 14 kwenye kipindi cha XXL kwenye kipengele cha You heard alisikika Alikiba na ilikua ni baada ya kusemekana wazazi wa Jokate hawajawa tayari kumuozesha binti yao…
Picha za kwanza za Tudd Thomas katoka Hospital, ni baada ya kupigwa na Wezi.
Ijumaa usiku wa July 31 ni siku ambayo Producer wa bongofleva wa hits kama mdogomdogo ya Diamond Platnumz, Tudd Thomas alivamiwa na wezi na kumshambulia kisha kumuibia vitu alivyokua navyo usiku huo…
Sentensi 6 kuhusu msafara wa Lowassa ulizuiwa Kilimanjaro na Polisi kutumia mabomu ya machozi.
Mchana wa August 13 2015 taarifa zinatoka kwamba Msafara wa mgombea Urais wa Tanzania 2015 kupitia UKAWA Edward Lowassa umezuiwa na Polisi kwenda kwenye mazishi ya mzee Kisumo huko Mwanga…
Pesa za kwanza kulipwa Niyonzima alipoingia kwenye soka
millardayo.com bado inaendelea kukupa ile exclusive interview ya kiungo wa kimataifa wa Rwanda anayeichezea klabu ya Dar Es Salaam Young African Haruna Niyonzima, wengi tunafahamu unapopata hela nyingi kwa mara…
Stamina kawakutanisha Fid Q, Noorah, Songa, Nikki Mbishi na Chid Benz kwa pamoja kwenye remix- ‘Like Father…’ (Audio)
Mtu wangu imenifikia hii remix ya Stamina ambayo imepewa jina la Like Father Like Son, ni collabo ambayo imewakutanisha wakali wengi kwa pamoja... ndani yake yumo rapper Fid Q, Noorah 'Baba Styles', Songa, Chid…