Fabolous kaja na video ya wimbo ‘Awwright’, kama ilikupita unaweza kuicheki hapa. (Video)
Rapper maarufu wa Marekani Fabolous ameisogeza kwetu video ya wimbo wake mpya iitwayo Awwright na kama hukubahatika kukutana nayo basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu. https://youtu.be/EA89O1iS7m8 PAPO KWA PAPO…
Ni furahiday mtu wangu.. Karibu TENA ucheki trailers na ratiba ya movies leo AGOSTI 14
Najua nina watu wangu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend inapofika, kama upo Dar es Salaam ama utakuwa ndani ya DAR leo, nimekusogezea hii ratiba ya movies na Trailers zake zote.…
Polisi na msafara wa Lowassa, Prof. Lipumba na UKAWA? Membe afunguka !! Kuna EBOLA Tanzania? Stori zote (Audio)
Kazi yangu ni kukusogezea stori zote kubwa zinazoweka headlines kwenye magazeti, hizi hapa ni baadhi ya zilizoguswa kwenye Uchambuzi wa Redioni #OnAIR August 14 2015. Polisi wazuia msafara wa Edward Lowassa kwenda Usangi…
Magazeti ya Tanzania Agosti 14, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Ijumaa Agosti 14,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Polisi Mbeya wamezuia maandamano ya UKAWA.. sababu ipo hapa (+Audio)..
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitiwi na chochote mtu wangu iwe usiku au mchana pale ambapo kinanifikia nakufikishia pia,ninayo hii ya Mbeya ambayo naambiwa Jeshi la Polisi Mbeya wamekataza maandamano ya…
Hawa ni Wachezaji 10 ghali zaidi katika Historia ya Ligi Kuu Uingereza
Ligi Kuu Uingereza inatajwa kuwa miongoni mwa Ligi maarufu zaidi Duniani hii inatokana kuwa na mashabiki kutoka sehemu mbalimbali Dunian, hata katika historia ya uuzaji wachezaji Ligi Kuu Uingereza bado…
Haruna Niyonzima kaongea haya kuhusu marehemu Mafisango….
Kama utakuwa unakumbumbuka vizuri ni miaka mitatu imepita toka afariki aliyekuwa mchezaji wa Simba mwenye uwezo wa kucheza namba Zaidi ya tatu uwanjani kwa ufasahaa Patrick Mutesa Mafisango wengi tuna…
Kutoka makao makuu ya CHADEMA Dsm, haya ni ya leo !
Ni August 13 2015 kutoka makao makuu ya chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA ambapo dakika hizi 14 zimetumika kuzungumzia mipango na mengine mapya yaliyoafikiwa kwa kuwekwa saini na wanaounda…
Madee Karudi Shule??Ninazo picha zikimuonyesha amevaa Sare za Shule…
Ni headlines juu headlines mtu wangu,kwenye pitapita zangu nimekutana na hizi za Madee ambazo anaonekana yuko shule na muda mwingine anaonekana kama anatumikia adhabu ambayo kapatiwa na Mwalimu,kwenye picha hizi…
Huu ni ushauri wa Rais wa FIFA kwenda kwa nchi za Ulaya Magharibi…
Kutoka makao makuu ya shirikisho la soka ulimwenguni FIFA, Rais wa FIFA Sepp Blatter ametoa ushauri kwa nia njema kwa nchi za Ulaya Magharibi kuiga na kujifunza kitu kutoka katika…