Nimekusogezea picha za boti ya kifahari ya mmiliki wa klabu ya Chelsea
Bilionea wa Kirusi ambae pia ni mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza Roman Abramovich hajaishia tu kupenda kununua wachezaji mastaa waje kucheza katika klabu yake bali anapenda kumiliki vitu…
Kama hukufanikiwa kuona video ya Diamond ‘Nana’ wakati ikitengenezwa zipo zaidi ya Dakika 30 hapa za ‘Behind The Scene’.
Nimeamua kukusogezea hizi dakika zaidi 30 mtu wangu kwa ajili ya kutazama wakati video ya Diamond Platnumz aliyomshirikisha Mr Flavour wa Nigeria ikitengenezwa hii ni kama hukufanikiwa kutazama,video ambayo imepitia…
Mchezaji Bora Ulaya ni mmoja kati ya hawa watatu mtu wangu… Wanawake nao wapo (+Pichaz)
Hatimaye Shirikisho la Soka Bara la Ulaya UEFA limetangaza majina matatu ya wachezaji wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora msimu ulioisha ndani ya mipaka ya Bara hilo. Kwa mujibu wa taarifa…
Za kwenye Instagram ni Wema Sepetu na Steve Nyerere Ikulu ya Dodoma na Rais Kikwete..
Inawezekana ikawa ni shavu kubwa kutoka kwa President Jakaya Kikwete kwenda kwa Wema Sepetu na Steve Nyerere baada ya kupost picha wakiwa Ikulu ya Dodoma na kuzipa maneno yanayoashiria kitu…
Ricardo Kaka anaamini Arsenal ina nafasi ndogo ya kumpata mchezaji huyu…
Aliyewahi kuwa mchezaji bora wa Dunia mwaka 2007 ambae pia amewahi kuvichezea vilabu vya AC Milan ya Italia na Real Madrid ya Hispania Ricardo Kaka anaamini mshambuliaji wa Real Madrid…
Hii ni sababu iliyomtoa Rafael da Silva Man United, Van Gaal anahusika
Ikiwa zimepita siku kadhaa toka aliyekuwa beki wa pembeni wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Rafael da Silva aondoke klabuni hapo na kutimkia katika klabu ya Olympique Lyon inayoshiriki…
Karibu tena mtu wangu, Jux kaisogeza kabisa full Video- Feat. Joh Makini– ‘Looking For You’
Ni siku moja imepita toka wimbo wa staa wa Bongo Fleva, Jux uguse headlines kubwa za Burudani Africa ambapo kwenye historia ya safari yake ya muziki huu unakuwa wimbo wake wa…
Enjoy Fleva ya muziki mzuri kutoka kwa Darasa Feat. Mr Blue ‘Heya Aee’…(Audio)
Rapper Darasa na Mr. Blue wameingia studio kwa pamoja, mikono ya Producer Mr. T Touch wa Free Nation Studio ikahusika kuikamilisha hii kazi nzuri, imesambazwa na imenifikia pia mtu wangu…
Bahati nyingine imemfikia mfugaji kutoka Arusha, anaanza na ufugaji wa kisasa… #AirtelFursa (Video)
Mtandao wa Airtel uko na watu wake kwa mara nyingine tena, Airtel Fursa ni mradi wa kijamii wenye dhumuni la kuhamasisha vijana, kuwapa nafasi ya kujiendeleza kibiashara na ujuzi utakaowawezesha kuimarisha biashara zao. Airtel Fursa…
Polisi wakaishtukia cover ya simu ambayo imekaa kama bastola, jamaa ikabidi aitwe…
Ni kawaida ukikutana na warembo sikuhizi wamependeza wenyewe, na simu zao wanataka zipendeze vilevile, basi kuna cover za kila aina utawakuta nazo.. wengine midoli, wengine ni maua maua... wanaume ni…