Umeipata hii ya joto kali lililoyeyusha mpaka gari? Nimeisogeza toka Italy… (+Video)
Stori za joto kuongezeka kipindi hiki sehemu mbalimbali duniani zimekuwa zikichukua headlines kubwa sana, ilianza Dubai joto lilipanda mpaka nyuzi 38, tukasikia Uingereza nako nyuzijoto liligonga 40 ikaja India pia…
Unaambiwa hizi ndio kazi za hatari zaidi duniani…
Kuna msemo unasema 'acha kazi uone kazi kupata kazi'..na kila mmoja anapaswa kuheshimu na kupenda kile anachofanya. Lakini kuna hii list ambayo imetolewa kuhusu kazi ambazo ni hatari zaidi kufanya…
Video ya msafara wa Lowassa barabarani mpaka ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua Fomu ya Urais
Timu ya millardayo.com ilikusogezea updates zote kila kilichokuwa kinaendelea August 10 2015 katikati ya Dar es Salaam, ilikuwa ni msafara kuanzia Buguruni, kupitia Ilala Kariakoo mpaka Posta kwenye Ofisi za…
Mbowe augua ghafla, Magufuli na ushindi wa Tsunami na matokeo yatangaziwa Polisi..#StoriKubwa
MWANANCHI Mgombea urais kwa tiketi ya Chadema anayewakilisha vyama vinavyounda Ukawa, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsindikiza wakati akienda Tume ya Taifa ya Uchaguzi…
Lowassa alivyotikisa Dar… Sheria ya Uhalifu wa Mitandao? Dk. Bilal kuhusu kuhama CCM? Dk. Magufuli na CCM? (Audio)
Kutoka kwenye Magazeti ya Jumanne 11 August 2015 hapa nina Uchambuzi wa Stori kubwakubwa za leo mtu wangu. Dk. John Magufuli asema ushindi wa CCM upo palepale, waliohama wamekiacha Chama salama…
Magazeti ya Tanzania Agosti 11, 2015.. Udaku, michezo na hardnews !
Good morning mtu wangu.. Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumanne Agosti 11,2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya Udaku, Michezo…
Mamilioni ya Stand United yawapeleka nyota hawa Shinyanga
Mkataba mnono walioupata klabu ya Stand United ya Shinyanga kutoka katika kampuni ya uchimbaji madini inaonekana kuzidi kuutumia vizuri kwa kuongeza nguvu katika kikosi chake kwani imewasajili wachezaji nyota wawili. Klabu…
Ulikua mbali na Radio? stori zote 10 za AMPLIFAYA Agosti 10, 2015 nimekuwekea hapa
Amplifaya ni show ambayo inasikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku on Clouds FM ikiwa na mkusanyiko wa stori kumi kubwa za siku kutoka kwenye siasa, michezo, muziki,…
Kaseja alipelekwa Oman na viongozi wa Simba? majibu yapo hapa
Baada ya kuenea kwa uvumi wa muda mrefu kuhusiana na klabu ya Soka ya Simba kutaka kumrejesha kikosini golikipa wake wa zamani ambae alikuwa Yanga kabla ya kutibuana na viongozi…
Alichosema Mzimbabwe wa Simba kipo hapa, vipi anaijua Simba?
Ikiwa ni wiki moja imepita toka klabu ya soka ya Simba imlete kiungo wa kimtaifa wa Zimbabwe aliyekuwa anacheza soka la kulipwa katika klabu ya Vicem Hai Phong F.C ya Vietnam Justice…