Wimbo mpya “Michepuko” kutoka kwa Mike T, unajua ameimba nini? Usikilize hapa
Mike Mwakatundu famous as Mike Tee ametoa wimbo mpya unaitwa Michepuko. Sikiliza alichoimba hapa na ukiupenda unaweza ku-download.
Wiki hii imejaa movie za mastaa wakubwa, cheki ratiba ya movie zote hapa
Tom Cruise, Angeline Jolie na wengine wanahusika kwenye movie za wiki hii.Listi nzima inahusisha movie kama Edge of Tomorrow,A haunted house 2,Maleficent na nyingine zilizotoka wiki iliyopita. Cheki ratiba na…
Hiki ndicho wanachokifanya makondakta nchini Thailand wanapohitaji kujisaidia wakati wa foleni ndefu.
Tatizo la kukithiri kwa msongamano wa magari na kukaa kwa muda mrefu kwenye foleni kwa siku nzima, Makondakta wa mabasi nchini Thailand wametafuta suluhisho binafsi pale wanapohitaji kujisaidia wakiwa barabarani…
Watafiti wamekuja na hii sasa, Kulala chumba chenye mwanga kunasababisha unene.
Kama ulikuwa hujui ngoja nikufahamishe, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa huko nchini Uingereza umebaini kuwa kulala chumba chenye mwanga uliopitiliza kumehusishwa na mtu kuongeza unene wa kupindukia. Timu ya watafiti…
Nyingine ni hii “Selfie” ya Tembo, Hebu ona alichofanya.
Wewe unadhani "Selfie" ni kwa ajili yako wewe tu? Hapana si kweli unaweza kuona ajabu aise ila stori kubwa ndio hii hapa, Tembo mmoja katika mbuga ya wanyama ya Safari…
Kumbe mume wa mjamzito aliyepigwa mawe Pakistan alimuua mke wake wa kwanza
Mume wa Farzana Parveen ambaeni mwanamke mjamzito wa Pakistan aliepigwa mawe hadi kufa kutokana na kuamua kuolewa na Mwanaume anaempenda kinyume na pendekezo la familia la kutaka aolewe na mwanaume…
Cristiano Ronaldo na ustaa wake, tazama jinsi alivyowasili kujiunga na timu ya taifa
Ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya kazi na makampuni makubwa ya kibiashara…
China noma,imekusanya hawa watu Uwanja wa Mpira na kuwahukumu kifo.
Watu 55 nchini China wamekumiwa kutumikia adhabu mbalimbali kwa makosa ya ugaidi, uhalifu wa kutumia silaha pamoja na mauaji, hukumu iliyotolewa katika Jimbo la Kaskazini Magharibi la Xinjiang mbele ya…
Meli ya Japan iliyolipuka Bandarini.
Mlipuko mkubwa umetokea kwenye meli kubwa ya mafuta nchini Japan katika Pwani ya Kusini Magharibi mwa bandari ya Himeji na kusababisha mtu mmoja kati ya wanane waliokuwa ndani ya meli…
Kama ni miongoni mwa watu wanaomiliki magari aina ya Ford hii inakuhusu.
Inawezekana ukawa mmiliki wa magari aina ya Ford ambay ni miongoni mwa kampuni kubwa za kutengeza magari nchini Marekani kwa sasa imeagiza magari milioni 1.4 yarejeshwe kutokana na hitilafu Hitilafu…