Umeipata hii ya watu kuandamana mtaani na mabango kisa wananyanyaswa na mtu mmoja tu.
Ishu hii imetokea Mwananyamala 88.5 Dar es salaam ni kuhusu mama anayesemekana ana uwezo kidogo kuwasimanga wale kipato cha chini ambao wanajishughulisha na biashara ndogo ndogo mtaani kitu kilichowapelekea wakina…
Labda umekua ukiusikia mwenge wa uhuru toka uko shule ya msingi ila hujawahi kujua gharama zake
Bunge la bajeti linaendelea Dodoma Tanzania ( 104.4 CloudsFM ) ambapo leo May 27 2014 kwenye kipindi cha maswali na majibu asubuhi, moja ya majibu yaliyotolewa ni kuhusu uwepo wa…
Dakika 16 za kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti Mei 27.
Mara baada ya kuwa umepitia kurasa mbalimbali za Magazeti naomba utumie nafasi hii pia kusikiliza yakichambuliwa na kusomwa kupitia kipindi cha Power Breakfast,hapa yanachambuliwa na kusomwa na PJ. 87.8 Clouds…
Baada ya Adam Kuambiana, bongo movie imepata msiba mwingine wa huyu mwigizaji
Tukiwa na wiki moja toka tumzike muongozaji na muigizaji Adam Kuambiana leo asubuhi imetoka taarifa nyingine ya kifo cha miongoni mwa waigizaji wa kike toka Bongo Movie. Aliefariki ni mwigizaji…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo May 27 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Mafuriko sio Tanzania tu, hii imetokea China na kuua zaidi ya 20 ( picha5 )
Ni dhoruba kali iliyoleta majonzi Kaskazini mwa China ambako mpaka sasa tayari watu 26 wamefariki na wengine 10 hawajulikani walipo huku vyombo vya usalama na uokoaji vikizidi kutafuta njia ya…
Vigodoro vimepigwa marufuku Dar es salaam.
Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limepiga marufuku ngoma za kitamaduni ambazo zimekuwa zikifanyika nyakati za usiku kwenye maeneo mbalimbali Dar es salaam ikiwa ni muendelezo wa…
Liverpool imemuongezea Brendan mkataba.
Ni kocha mwenye umri wa miaka 41 ambae alianza kazi ya kuwa kocha mwaka 2008 kwenye club ya Watford na kisha kuhamia Reading mwaka 2009, 2010 akaenda Swansea City kisha…
Breaking News: Jeshi la Nigeria limebaini walikofichwa wasichana waliotekwa
Jeshi la nchini Nigeria limesema linajua mahali walikofichwa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa wakiwa shuleni lakini hawawezi kuitaja sehemu hiyo hadharani. Wasichana hao walitekwa na kundi la kigaidi la Boko…
Ishu: Nigeria yatoa “dili” ili kuachiwa wasichana waliotekwa.
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, mpango kwa ajili ya kuachiliwa kwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara nchini Nigeria unakaribia kufikiwa wakati serikali ya Nigeria ikiitisha…