Ebwana umesikia hii ya Iran? Polisi wamekamata waliojirekodi video ya ile happy ya Pharrel
Hit single ya 'happy' ya Pharrell Williams ni single ambayo ukiangalia kwenye mtandao watu wengi walitengeneza video zao na kuziweka humo lakini kwa kutumia wimbo huohuo ambao kiukweli wanasema ni…
Wakati matokeo rasmi yakisubiriwa kutangazwa,huyu ndiye Waziri aliyejiua Malawi.
Ingawa matokeo rasmi bado hayajatangazwa nimepata taarifa kuwa Waziri wa serikali za mitaa nchini Malawi Godfrey Kamanya,amejiua baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu siku ya Jumanne. Waziri huyo alijipiga risasi…
Nyingine ya mwaka!! kuhusu waliokua wakifanya mapenzi chumba jirani na cha Mahakama kesi ikiendelea
Katika vituko vikubwa au vioja Mahakamani nilivyowahi kuvisikia kutoka Tanzania, vyote nilivipata kutoka 88.1 Mwanza pale ambapo Mahabusu mmoja alitumia njia ya kuvua nguo na kujipaka choo ili akitoroka mtu…
Taarifa ya Manchester United kukamilisha usajili wa Toni Kroos
Klabu ya Manchester United jana usiku ilikuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Toni Kroos kutoka klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani. Kwa mujibu wa vyombo vya…
Hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 22.
Kama ulikua bize au hukua na muda mzuri wa kusikiliza magazeti yakisomwa redioni leo Mei 22 hapa nimekurekodia yoote yakisomwa na kuchambuliwa kwenye kipindi cha Power Breakfast na PJ ni…
Magazetini leo May 22 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa…
Msikilize Mbwiga wa mei 21.
Taarifa za kimichezo kutoka kwenye sports Extra huwa zinakamilishwa na mtekenyo wa Mbwiga wa Mbiguke ambao kwa kawaida huwa ni stori za soka kipindi cha nyuma upande wa mpira wa…
Picha 18 kwenye kumbukumbu ya Mv Bukoba akiwemo @flavianamatata.
Tanzania leo tumewakumbuka ndugu zetu ambao walipoteza maisha kwenye ajali ya kuzama kwa meli ya Mv Bukoba ambayo ilizama siku kama ya leo mwaka 1996 ambapo miongoni mwa watu waliopoteza…
Mapya kutoka kwa Hamisa Mobeto na Diamond,sikiliza kupitia You heard ya Mei 21.
Ilishawahi kutoka taarifa ambayo haikuwa rasmi kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Diamond Platnumz na Hamisa mobeto ambayo Soudy Brown leo ameonge na Hamisa Mobeto baada ya kusemekana kuna ofisi…
Umeyapata ya Fid Q na Dayna?sikiliza kupitia You heard ya mei 20.
Kutokana na sababu ambazo zilikua nje ya uwezo hukusikiliza You heard ya jana Mei 20 sikuiweka hapa ,sasa kwa kuwa nipo kwa ajili yako na sipendi upitwe na kitu,You heard…