Rafiki wa Justin Beiber amponza
Aliyekuwa mgeni wa muda wa staa Justin Beiber, Lil Za, amehukumiwa miyaka mitatu ya kufanya shughuli za kijamii ikiwemo kufanya usafi, pamoja na faini ya dolla 1,600 kwa fujo alizozifanya…
Shilingi elfu 10 imesababisha huyu mtoto akatwe hivi visu. (Picha + audio)
Hii inaingia kwenye maktaba ya matukio ya kusikitisha kwenye idara ya Hekaheka na leo ni kuhusu dada aliyeamua kumkata mikono kwa kisu mtoto wa ndugu yake kisa kikiwa ni shilingi…
Hatari nyingine mpya ya bakteria kwenye ndege za kusafiria
Ripoti imetolewa ikionyesha sehemu gani ndani ya ndege inalea vijidudu vya bakteria zaidi ikiwemo ile sehemu ya kuwekea mkono katikati ya viti, kwenye vidirisha pamoja na sehemu ya nyuma ya…
Ile video ya Mb Dogg ‘bado umenuna’ ndio imetoka, itazame hapa
Ukamilifu wa video hii ambayo picha zake niliziweka hapa wiki chache zilizopita ni huu hapa japo video hii ilikamilika wiki kadhaa nyuma lakini walikua wakisubiri muda sahihi wa kuitoa, ukisha…
Loliondo kwa headline tena,sasa hivi sio kikombe cha babu ni Dhahabu.
Nimeambiwa kuwa kwa sasa kuna watu wa nguvu kibao wanaenda Samunge,Loliondo na kinachowapeleka sio ishu ya Kikombe cha babu tena sasa hivi ni madini ya dhahabu ambayo inasemekana yamegundulika eneo…
Ni Wanachuo wa UDOM sasa, walichosema kuhusu kulala/kujiuza kwa baadhi ya Wabunge
Ripota wa nguvu Simon Simalenga akiwa 104.4 Dodoma amekutana na Wanachuo kwenye chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kwenye bunge la bajeti linaloendelea May 19 2014 Wabunge walipitisha bajeti ya…
Ciara na Future wamepata mtoto! mama kashea nusu picha yake
Ni mastaa ambao walipoanza mapenzi yao wengi waliona kama wanafanya hivyo ili kutengeneza headlines tu zitakazofanya wauze muziki wao lakini May 19 2014 mastaa hawa wamepata mtoto wao wa kwanza…
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, yasikilize Magazeti ya leo May 21 2014 yakisomwa Redioni
Naomba kuzileta kwako hizi dakika 19 za kusikiliza kilichoandikwa kupitia kurasa mbalimbali za Magazeti ya leo May 21 2014 ikiwa ni nafasi nyingine kutoka millardayo.com ya kusikiliza usomwaji na uchambuzi…
Kumbukumbu ya Miaka 18 ya ajali ya Mv Bukoba.
Leo ni kumbukumbu ya Miaka 18 tangu itokee ajali iliyoua ndugu zetu zaidi ya 700 ni ajali ambayo iligharimu roho za watu wengi ni ajali kubwa ya majini ambayo ilitokea…
Mtoto wa 50 Cent alieamua kumchana baba kwa kutotokea kwenye graduation yake
Japo ni mara nyingi watoto wa kiume wameonekana kuwa na mapenzi zaidi kwa mama zao kuliko baba, haimaanishi kwamba hawamuhitaji baba kabisa kwenye maisha yao. Mtoto wa 50 Cent aitwae…