Kama ulimisi alichosema Michael Wambura kuhusu wachezaji wasaliti Simba.
Mgombea urais wa klabu ya Simba Michael Wambura amesema kuwa wachezaji wengi wa klabu hiyo ni wachezaji wa watu binafsi na siyo wa klabu kutokana na mfumo mbovu wa usajili…
Alichosema Mbwana Samata kuhusu wachezaji wa kigeni ligi kuu TZ
Kutokana na uzoefu wake Mbwana Samatta ameunga mkono klabu za Ligi kuu bara ziruhusiwe kusajili wachezaji watano kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kuleta ushindani na mafanikio ya timu.…
Listi ya club zinaongoza kutoa wachezaji wengi kombe la dunia mwaka huu
Homa ya kombe la dunia inazidi kupanda zikiwa zimebaki takribani wiki zipatazo nne kabla ya michuano hiyo haijaanza kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Brazil. Timu zote 32 tayari zimeshatangaza…
Dakika 22 za kusikiliza Magazeti ya Mei 15 yakisomwa Redioni.
Hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa Redioni leo Mei 15 na hapa yanachambuliwa na Paul James 'PJ' kwenye kisehemu cha kuperuzi na kudadisi kupitia Power Breakfast. 96.0 Clouds Fm inasikika…
Stori kubwa za Magazeti ya Tanzania May 15 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na…
Kumbe Solange amefuta picha zake na Beyonce insta akaacha hii tu, tazama alichofanya Beyonce
Kwa wale mnaofatilia stori za mastaa, ikiwa ni chini ya saa 48 toka iripotiwe kwamba Solange ameziondoa kwenye page yake ya instagram picha alizopiga na dada yake yaani Beyonce, B…
Pamoja na huyu mtoto kuanguka kwenye hili gorofa la 11, anapumua bado
Kwa wale wakazi wa magorofani au wanaokwenda na watoto wao kwenye nyumba hizi zenye urefu kwenda juu inabidi waichukue hii kama tahadhari manake ni hatari nyingine kwa yeyote. Madaktari wa…
Kitachomkuta yeyote anaetuma picha za uchi facebook na twitter Kenya, ripoti ya April je?
Ni kawaida sasa hivi kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na baadhi ya blogs na website kuweka picha za uchi au mitandao ambayo imekua maalum kwa ajili ya kueneza picha na…
Kwako mtu wangu unaependa michezo ya magari
Kuna wale ambao hawanywi pombe, hawapendi mpira wala hawako kwenye starehe nyingine zilizozoeleka mfano hii ya magari ambayo ina watu wake nayo. http://www.youtube.com/watch?v=QaNk116b2kw
Msikilize Mbwiga wa Mei 14 hapa.
Huu mtekenyo wa Mbwiga wa Mbiwguke leo umekumbuka mechi iliyochezwa kati ya Yanga na Maji Maji na Songea Mbwiga kataja list ya timu hizo pamoja na matokeo yaliyotokea pamoja na…