Hapa ipo video inayomuonyesha Zitto Kabwe akipokea ripoti ya CAG Dodoma Mei 07.
Kawaida taarifa hizi za ripoti ya CAG huwa zinapokelewa mwezi April lakini kwa mwaka huu imekua tofauti kidogo kwani imekabidhiwa mwezi Mei,miongoni mwa sababu zilizotajwa za kucheleweshwa kukabidhiwa kwa ripoti…
Dakika 16 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 08.
Kawaida ya millardayo.com ni kukuweka karibu na kitu ambacho pengine kutokana na sababu zilizoshindwa kuzuilika ulikikosa labda,lakini ukijiunga tu na familia ya millardayo.com unakuwa na uhakika wa kukikuta sasa hapa…
Magazeti ya leo Mei 08 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Pale ripota wa TZA alipoingia madukani Nairobi Kenya kuulizia bongo movie
TZA ina ripota nchini Kenya aitwae Julius Kipkoich ambae amekua na mfululizo wa ripoti mbalimbali za Kenya kupitia Amplifaya ya Clouds FM lakini pia kwenye millardayo.com na AyoTV. Kipkoich alitembelea…
Kuhusu magari mapya 11 ya serikali yasiyojulikana yalipo.
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG imeamplfy kwamba kitendo cha Serikali kukosa nyaraka za mali zake kumechangia baadhi ya watendaji wasio waaminifu kutumia mwanya huo kujisogezea mali…
Sheria mpya za Kiislamu Brunei zilizofanya hoteli za mfalme zisusiwe
Brunei wametangaza utumiaji wa sheria mpya kwa raia laki nne na elfu 16 wa nchi hiyo ndogo yenye utajiri mkubwa wa mafuta ambayo imekua ikiongozwa na Hassanal Bolkiah kwa takriban…
Full Time ya Manchester City vs Aston Villa May 7 2014
Ni game full time ni Manchester City 4 magoli ambayo yamefungwa na Dzeko kwenye dakika 64'+ 72'+ Jovetic 89' + Yaya Toure kwenye 90 +3) - 0 Aston Villa. Unataka…
Dakika 1 ya kumsikiliza Mbwiga wa Mei 07.
Mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo umezungumzia timu kutoka Kenya,unaambiwa kocha wa timu hiyo alipoona wachezaji hawamuelewe akaomba kuletewa spika na kipaza sauti,hebu msikilize Mbwiga wa leo Mei 07. 87.5…
Picha 8 za Mahabusu alievua nguo Mahakamani Mwanza leo
Mahabusu wawili kati ya sita wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji wameleta kizaazaa baada ya kujaribu kutoroka na kukimbilia kwenye mlingoti wa Bendera ya Taifa na kuing'ang'ania kisha kuvua nguo na…
Adhabu waliyopewa Villareal kwa tukio la Dani Alves kutupiwa ndizi
Ligi kuu ya Hispania (LFP) imeipa adhabu klabu ya Villareal kutokana na kosa la shabiki wao kumfanyia vitendo vya kibaguzi mchezaji wa FC Barcelona mbrazil Dani Alves. LFP imeiadhibu Villareal…