Adhabu waliyopewa Villareal kwa tukio la Dani Alves kutupiwa ndizi
Ligi kuu ya Hispania (LFP) imeipa adhabu klabu ya Villareal kutokana na kosa la shabiki wao kumfanyia vitendo vya kibaguzi mchezaji wa FC Barcelona mbrazil Dani Alves. LFP imeiadhibu Villareal…
Baada ya Ferguson – Rio Ferdinand nae anakuja na kitabu chake, Moyes atajwa
Miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Ferguson akizua mijadala mingi kwenye vyombo vya habari kutokana na vitu alivyoandika kwenye kitabu chake - hivi sasa…
Huu ndiyo ujio mwingine wa Nikki wa Pili.
Mshindi wa tuzo ya wimbo bora wa Hip hop Nikki wa pili leo ametoa cover ambayo inamaanisha ujio wake mwingine unaofuata baada ya Nje ya box ambayo ilitoka siku ya…
Kauli ya Sauti Soul baada ya kupata taarifa ya kufungiwa kwa video yao.
Ikiwa inakaribia wiki ya pili sasa tangu kundi la Sauti Soul kuachia video ambayo imeleta utata na baadae kutoka taarifa za kufungiwa,hatimae leo kuna kauli kutoka kwao kama Sauti Soul…
Kocha wa kwanza mwanamke kufundisha soka kwenye klabu kubwa Ulaya
Ni kawaida kuona makocha wa jinsia ya kiume wakiwa wanafundisha timu za mpira wa miguu za wanawake, lakini ni mara chache sana tumewahi kushuhudia kocha wa kike akiwa anaifundisha timu…
Majibu ya Nash Mc juu ya kudai kutelekeza msichana wake ambaye inasemekana ni Mjamzito.
Huu ni muendelezo wa You heard ambayo ilianza jana alisikika msichana ambaye inasemekana alitelekezwa na Nash Mc baada ya kupata ujauzito,simulizi hiyo inaendelea na hapa pia utamsikiliza Nash Mc akiongelea…
Video: Namna Vidic alivyoagwa Old Trafford na magoli ya Hull City vs Man Utd
Manchester United jana usiku ilicheza mchezo wake wa mwisho msimu huu kwenye uwanja wake wa nyumbani Old Trafford dhidi ya Hull City - matokeo yalikuwa 3-1, Wilson alifunga mawili na…
Ulisikia kuhusu yule mtoto mdogo aliyekua akihudumia Guest house?huu hapa muendelezo wake.
Idara ya Hekaheka jana Mei 06 ilitoa ripot kuhusu mtoto mdogo ambaye kwa makadirio hazidi miaka 10 akiwa mhudumu wa nyumba ya kulala wageni 'Guest House' huku pia akihusushwa na…
Picha 5 za hali ilivyo leo Mei 07 barabara ya kwenda Mikoa ya kusini.
Barabara hii imeripotiwa mara kadhaa kutoka kwa abiria na wamiliki wa magari juu ya hali ilivyo hasa inapotokea mvua kunyesha eneo hili,taarifa niliyoipata ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekwama…
Sikiliza Wimbo mpya wa Cyril Kamikaze – Alowa.
Baada ya kimya kirefu kidogo huu hapa wimbo wa Cyril unaitwa Alowa uliingia kwenye headline baada ya kutoa cover ya wimbo huu ambao wengi walihoji aliipigaje picha hiyo,wimbo huu bado…