Picha 5 za hali ilivyo leo Mei 07 barabara ya kwenda Mikoa ya kusini.
Barabara hii imeripotiwa mara kadhaa kutoka kwa abiria na wamiliki wa magari juu ya hali ilivyo hasa inapotokea mvua kunyesha eneo hili,taarifa niliyoipata ni kuwa kuna baadhi ya watu wamekwama…
Sikiliza Wimbo mpya wa Cyril Kamikaze – Alowa.
Baada ya kimya kirefu kidogo huu hapa wimbo wa Cyril unaitwa Alowa uliingia kwenye headline baada ya kutoa cover ya wimbo huu ambao wengi walihoji aliipigaje picha hiyo,wimbo huu bado…
Taarifa ya Jeshi la Polisi Dodoma kuhusu Vurugu zilizotokea Mei 05 Kibaigwa.
Kutoka Dodoma Mei 05 majira ya saa saba mchana kulitokea vurugu zilizoanzishwa na wabeba mizigo wa Mji mdogo wa Kibaigwa ambapo taarifa inasema zilikua ni vurugu zilizosababisha magari kadhaa kuvunjwa…
Sikiliza Magazeti ya leo Mei 07 yakisomwa Redioni hapa.
Hizi ni dakika 17 ambazo nakuletea kwa ajili ya kusikiliza kilichoandikwa kupitia kurasa mbalimbali za Magazeti leo Mei 07 na hii ni baada ya kupitia kurasa za mbele na nyuma…
Baada ya kutekwa wasichana na Boko haramu Huu ni msaada uliotoka Marekani kwenda Nigeria.
Nchi ya Marekani imetangaza kutuma kikosi cha wataalamu nchini Nigeria kusaidia kuwatafuta wasichana zaidi ya 200 wa shule waliotekwa nyara mwezi uliopita na wapiganaji wa kundi la Boko Haram. Rais…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo Mei 07 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Ya CCM kuhusu kuwabembeleza waliosusia bunge la katiba
Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wake Rais DK JAKAYA KIKWETE ilikutana Dodoma May 5 2014 ili kujadili na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa Bunge la…
Ndege iliyovunjika kioo ikiwa zaidi ya futi elfu 30 angani.
Ndege ya Delta Airlines aina ya Boeing 767-300 ilikua ikipaa urefu wa futi 38,000 angani na kisha ghafla rubani akawasiliana na abiria ili kuwajulisha kwamba ndege itatua kwa dharura Albuquerque…
Video 2 zikimuonyesha Lil Wayne akitaka kupigana baada ya kurushiwa chupa
Unaambiwa usiku wa pambano la Mayweather na Maidana Lil Wayne alijikuta akiwa pembeni ya timu ya Maidana wakati yeye yuko upande wa Mayweather ambapo walipofika katikati wakati anawapisha jamaa wa…
Mrembo V Stiviano ameyaeleza yote kwa mara ya kwanza kuhusu bilionea Mmarekani aliewabagua watu weusi
V Stiviano ambae ni mrembo alievujisha mazungumzo ya simu ya mkononi kati yake na bilionea Mmarekani mmiliki wa timu maarufu ya mpira wa kikapu ya L.A Clippers Donald Sterling alietoa…