Seneta wa Nairobi Mike Sonko ‘sharobaro’ ameamua kuonyesha mshahara anaolipwa na matumizi yake.
Unaambiwa Seneta wa Nairobi Mike Sonko maarufu kama mbunge Sharobaro time hizo, amepost payslip yake kwenye Facebook ikionyesha mshahara anaochukua na matumizi yake kwa mwezi March. Mike Sonko anakua kiongozi…
Bunge la bajeti linaanza leo na hizi ndizo posho mpya zilizoongezwa kwa Wabunge.
Baada ya kuhairishwa kwa Bunge la maalum la Katiba,Bunge la bajeti linaanza leo Mei 06 Dodoma ambapo wabunge wanatarajiwa kuanza kulipwa viwango vipya vya posho ambapo itakua ni shilingi 300,000…
Mpya kuhusu Mabasi yaendayo haraka Dar, yanaanza lini? daladala ngapi nje?
Unaambiwa Zaidi ya daladala 1,800 hazitoruhusiwa kufanya safari zake maeneo ya katikati ya jiji la Dar baada ya miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo haraka kukamilika na ujenzi huo wa…
Sikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo Mei 06.
Kama kawaida unapomaliza kusoma vichwa mbalimbali vya Magazeti ya Tanzania nakupa nafasi ya kusikiliza Magazeti hayo yakisomwa na kuchambuliwa Redioni,hapa yanasomwa na kuchambuliwa na PJ. 88.5 Clouds Fm inasikika ukiwa…
Magazeti ya leo Mei 06 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Msikilize Mbwiga wa Mei 05.
Huu hapa Mtekenyo wa Mbwiga wa Mbwiguke leo Mei 05 ni stori za kimichezo ambazo zinahusisha mpira wa Miguu wa Tanzania jinsi vioja mbalimbali vinavyojitokeza ndani ya mechi na timu…
Umesikia kuhusu chama kipya cha kisiasa Tanzania kilichotangazwa leo?
Miongoni mwa stori kubwa za leo ni pamoja na hii ya chama kipya cha kisiasa kiitwacho ACT kuanzishwa nchini Tanzania ambapo kwa sasa kina Mwenyekiti wa muda tu lakini kimepata…
Huu hapa wimbo wa Hello Hello Tanzania wa Tanzania All Star.
Ni wimbo uliotungwa na Amini pamoja na Ditto wa THT ambao umekua maarufu kwa kipindi kifupi cha sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Bonyeza play kusikiliza.
Stori 10 za Amplifaya May 5 2014
Ulikua mbali na Radio leo? hizi ndio habari kumi kubwa za AMPLIFAYA May 5 2014 mtu wangu... ni show ambayo husikika Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia CLOUDS FM kuanzia saa moja…
Unafahamu kwanini Jaguar wa Kenya hakuja kwenye tuzo za KILI juzi?
Post hii ni maalum kwa staa wa muziki wa Kenya anaetajwa kuingia kwenye TOP 5 ya Wasanii matajiri wa muziki wa kizazi kipya Afrika Mashariki huku orodha hiyo ikiwa na…