Video: Angalia Davido akimfundisha Adebayor kucheza wimbo wa ‘AYE’
Siku chache zilizopita mtu wangu wa nguvu nilikuwekea video ya mwanamuziki Davido akimfundisha mwanasoka wa Samuel Eto'o kucheza wimbo wake wa 'Skelewu' - leo hii nimepata video nyingine ya Davido…
Dakika 3 za video mpya ya Adam Mchomvu ‘au sio’
Ni time nyingine ya upande mwingine wa Baba Jonii Adam Mchomvu ambae ni mtangazaji wa Clouds FM kwenye show ya XXL, video ilionyeshwa kwa mara ya kwanza Jumapili May 04…
Single mpya ya @MwanaFA ft G Nako ‘mfalme’ isikilize hapa
Kwa mara ya kwanza huu wimbo ulipata nafasi ya kusikilizwa na Watanzania pale kwenye utolewaji wa tuzo za KTMA 2014 wimbo unaitwa 'mfalme' wa Mwana Fa ameshirikishwa G nako na…
Ulisikia kilichotokea kwa Weusi na Fid Q jana usiku Maisha Club baada ya tuzo za Ktma2014?
Hii inahusisha show iliyofanyika Maisha Club Dar May 4 2014 usiku ambayo Adam Mchomvu ndio alikua mwenye show pamoja na kuzindua video yake mpya ya 'au sio' kisha Fid Q…
Luis Suarez kafanya tena!
Wiki mbili baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England kupitia chama cha wanasoka wanaocheza EPL mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez ambae ni miongoni mwa…
Video: Machozi na vilio vilivyotawala uwanja wa Dortmund wakati Lewandoski akiagwa.
Wakati zikiwa zimebaki siku chache kabla msimu wa Bundesliga haujaisha, weekend hii Borrusia Dortmund ilikuwa ikicheza mechi yake ya mwisho kwenye uwanja wao wa nyumbani Signal Iduna Park dhidi ya Hoffenheim…
Kama hukusikiliza wimbo mpya wa Diva – Mashaalah usikilize hapa.
Huu ni wimbo ambao ulitoka rasmi May 02 ni kutoka Sharobaro Records na ulipata Exclusive Interview kutoka kwa XXL ya Clouds Fm,ni kutoka kwa Diva hapa kamshirikisha Producer wa wimbo…
Sikiliza Hekaheka ya leo Mei 05 hapa.
Hii ni kutoka idara ya Hekaheka na inamhusu mtoto wa miaka 5 aliyekua akifanyishwa kazi za nyumbani ambazo anapaswa kufanya mtu mzima,yameongelewa mambo mengi na majirani lakini pia mama wa…
Unaambiwa hili ni moja ya magoli bora kabisa ya Ronaldo – litazame hapa
Cristiano Ronaldo jana aliwezesha timu ya Real Madrid kuendelea kuwa kwenye mbio za ubingwa baada ya kuifungia bao muhimu la kusawazisha dhidi ya Valencia kwenye ligi kuu ya Hispania -…
Maneno ya Diamond Platnumz kuhusu tuzo 7 alizopokea za #KTMA2014.
Mbali na headline mbalimbali zilizoanza kutoka mara baada ya kukabidhiwa kwa tuzo hizi 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Award Diamond Platnumz amekua msanii wa kwanza kupata idadi nyingi ya tuzo…