Magazetini Jumapili ya leo Mei 04 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Unaweza kutazama magoli ya mechi za Man Utd vs Sunderland – Man City vs Everton hapa
Manchester United leo imepoteza mchezo mwingine kwenye dimba lake la Old Trafford dhidi ya Sunderland, wakati huo huo mahasimu wao Man City wamefanikiwa kuiondoa Liverpool kileleni kwa ushindi dhidi ya…
Pale Wema na Diamond walipokutana kwenye steji ya KTMA 2014 na pia kuna washindi wengine
Tukio bado linaendelea na tuzo zinaendelea kutolewa na hizi ni picha za washindi wengine kwenye categories mbalimbali. Vanessa Mdee ameshinda tuzo ya wimbo bora wa R&B na wimbo wa Closer.…
Picha za kundi la kwanza la washindi wa tuzo za KTMA
Kundi la kwanza la washindi wa tuzo KTMA alishinda Diamond na wimbo wa My Number One kwenye category ya wimbo bora wa Afro Pop ambapo tuzo ilipokelewa na producer wake…
Picha nyingine za red carpet wakiwemo Adam Mchomvu,B12,Fid Q,Nikki wa pili na wengine
Usijiulize tena watu uwapendao kama Fid Q,B12,Adam Mchomvu,Nikki wa pili wamevaa vipi kwenye red carpet ya KTMA 2014. Hivi ndivyo walivyovaa na endelea kufuatilia TZA kuona kila kinachoendelea.
Picha 10 za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili music awards 2014
Tukio linakaribia kuanza kwenye ukumbi wa Mlimani city hall ambapo wasanii mbalimbali wanategemea kushinda tuzo usiku wa leo. Hizi ni picha 10 za kwanza kutoka kwenye red carpet ya Kili…
Full Time ya Man U vs Sunderland May 3 2014
Ni game ambayo pia ilikua inasubiriwa sana na mashabiki mbalimbali wakiwemo wa Manchester United kuona game ya pili toka Giggs aachiwe timu kwa muda. Full Time ni Manchester United wamefungwa…
Picha nyingine za Diamond na Wema kwenye show yao ya Mtwara.
Mei 02 Mtwara walipata nafasi ya kuona show ya moja kwa moja toka kwa Diamond Platnumz na Wema Sepetu,show ambayo ilitawaliwa na mambo mengi ya kimapenzi,maana hata wakati Diamond anajiandaa…
Tuzo za KTMA2014 zitatolewa hapa leo usiku. (pichaz na videos)
Baada ya kuwa umepiga kura kumchagua mshindi wako leo ndiyo siku maalum ya kutangazwa washindi mbalimbali wa tuzo za Muziki Tanzania,sehemu zitakapotolewa tuzo hizi ni Mlimani City haya ni baadhi…
millardayo.com inairusha live #KTMA2014, bofya hapa.
Mtu wako wa nguvu Millard Ayo, Jokate, Sam Misago na Salma Msangi ndio tutakua na wewe kwenye #KTMA2014 red carpet na social media lounge!! unaweza kutupata live hapahapa mtu wangu…