Hii proposal ya ndoa imetisha haijatisha?!!
Utatamani kuona tukio lolote ambalo unaambiwa lilifanywa kwa suprise yani bila muhusika upande wa pili kufahamu kama ilikua imepangwa tena sanasana kwenye vitu vikubwa vya maisha kama ndoa au mapenzi.…
Mabibi na mabwana! WEUSI wanayofuraha kukualika kutazama video yao mpya ya ‘gere’
Ni miongoni mwa single ambayo imepanda juu kwa haraka zaidi kwenye Clouds FM Top 20 ndani ya wiki tatu zilizopita ambapo wakati audio ikiendelea kuchukua headlines, WEUSI wameidondosha video yake…
Ni zamu ya wenye haya meno sasa, wanalalamika kukosa wapenzi na kukimbiwa.
Ni kawaida kukutana na mtu mwenye meno ambayo yameharibika rangi kwa kubadilika kutoka kuwa meupe na kuwa ya kahawia huku ambapo chanzo kinatajwa kuwa aina ya maji ambayo mtu huyo…
May 1 2014 ‘number 1 rmx’ ya Diamond imekua ya ngapi Top10 ya Trace TV ufaransa?
Kwenye Top 10 ya muziki mkali wa Afrika ambayo hufanyika kila Alhamisi kwenye kituo cha TV cha Ufaransa ambacho kina mamilioni ya Watazamaji Afrika (TRACE TV Urban) May 1 2014…
Taarifa nyingine waliyopewa ndugu wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia.
Toka March 8 2014 mpaka leo ikiwa ni May, ndege ya Malaysia iliyokua imebeba zaidi ya watu 200 haijulikani ilipo baada ya kupotea ikiwa inatokea Malaysia kwenda Beijing China. Kwa…
Pale mtoto wa miaka miwili alipojitokeza mbele ya zaidi ya watu 50 na kufanya yake.
Mara nyingi inatokea kwenye matukio ya kawaida tu lakini kinachofanya iwe stori ni umri mdogo alionao mtoto alafu akafanya vitu vinavyofanywa na Wazazi wake au wengine waliomzidi umri kwa urefu…
Kumbe hata Marekani kuna wanaohukumiwa kunyongwa kimakosa?
Uchunguzi mpya uliofanywa nchini Marekani unaonyesha mmoja kati ya wafungwa 25 wa mauaji hakufanya kosa hilo hivyo zaidi ya asilimia 4 kati ya wafungwa wa kimarekani wamehukumiwa kifo lakini hawakutenda…
Dakika 3 nyingine za kukumbukwa bunge la katiba, majibizano na kauli
Bunge la katiba limeahirishwa mpaka August 2014 ili kupisha bunge la bajeti ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa fedha Saada Salum Mkuya ambae pia ni mjumbe, bunge hilo…
Hii ndiyo Kauli ya Yanga baada ya Kavumbagu na Damayo kujiunga na Azam Fc
Baada ya kuonekana kwa picha za Wachezaji wawili wa timu ya Yanga Didier Kavumbagu na Frank Damayo,Uongozi wa Yanga umetoa yao ya moyoni juu hiki kilichoonekana kupitia mitandao mbalimbali ya…
Baada ya kupigwa Marufuku kuingia kwenye mechi zote,hiki kingine kipya cha yule shabiki aliyerusha ndizi uwanjani.
Stori ya shabiki aliyerushia ndizi Alves imekua ni stori kubwa ambayo imepokelewa na mataifa mbalimbali duniani huku wengi wakionekana kumuunga mkono Alves,Polisi nchini Uhispania,wamesema wamemkamata shabiki yule aliyemtupia ndizi mchezaji…