Sikiliza You heard ya leo hapa inayohusu ndoa ya Bob Junior.
Hii iliwahi kusikika lakini haikuwahi kuthibitika uhalali wa taarifa hizi kutoka kwa mhusika mwenyewe ambaye ni Bob Junior,leo kupitia You heard Soud Brown ana amplify taarifa hizi. 88.1 Clouds Fm…
Huu ni wimbo uliowakutanisha wasanii 50 kutoka Tanzania unaohusu Muungano.
Wimbo Maalumu wa Muungano ulioimbwa na wasanii 50 kutoka Tanzania ambao kwa pamoja walikaa na kutengeneza wimbo huu,jina la wimbo huu unaitwa Tuulinde umetayarishwa na maproducer wawili Ema the boy…
Sikiliza hapa Hekaheka ya leo April 28.
Idara ya Hekaheka hua haikauki stori ambazo asilimia kubwa ni zile ambazo zinatokea uswahilini na zikihusisha maisha ya kimtaa zaidi,hii inamhusu jirani ambaye aliibiwa na katika harakati za kumtafuta mwizi…
Hizi ndizo picha za Jeshi la Wananchi Tanzania zilizoleta stori mtaani.
Inawezekana raia wengi wa Tanzania tulikua hatujui nguvu ya jeshi letu la Wananchi,vifaa vyake pamoja na matumizi ya vifaa hivyo hasa inapotakiwa kuvitumia,April 26 Tanzania tulikua tukitimiza miaka 50 ya…
Hapa nimekurekodia Magazeti yakisomwa Redioni leo April 28.
Zitumie hizi dakika 17 mtu wangu wa nguvu kusikiliza Magazeti ya leo April 28 yakisomwa na kuchambuliwa kupitia kipindi cha Power Breakfast na Paul James 'PJ'. 87.8 Clouds Fm inasikika…
Hiki ndicho kilichotokea Skylight Band walipokutana na Kidumu.
Wakazi wa 88.5 Dar es salaam walipata burudani mbili kwa pamoja usiku wa April 27 ambapo Skylight Band walikua wakizindua video ya wimbo wao mpya uitwao Kariakoo,baada ya kuzinduliwa kwa…
Magazeti ya leo April 28 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Luis Suarez ametajwa kuwa PFA Player of the Year.
Hadi sasa Luis Suarez ameshafunga magoli 30 kwenye ligi ngumu ya uingereza na kuisaidia timu yake ya Liverpool kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubigwa wa ligi hiyo. Suarez anakuwa…
Kocha wa Liverpool asema Chelsea walipaki mabasi mawili golini kwao
Wakati Jose Mourinho akijisifia kwamba timu bora imeshinda, kocha wa Liverpool Brendan Rodgers akiongea na waandishi wa habari ameipaka timu ya Chelsea kwa aina ya uchezaji wao. Chelsea wamepunguza kasi…
Cheki tangazo jipya la Nike ndani yake kuna Ronaldo,Rooney,Ibrahimovich na wengine
Tangazo hili lina majina makubwa kutoka kwenye soka kama Cristiano Ronaldo, Neymar Jr., Wayne Rooney, Zlatan Ibrahimović, Gerard Piqué, Gonzalo Higuaín, Mario Götze, Eden Hazard, Thiago Silva, Andrea Pirlo, David…