Taarifa kuhusu kocha mpya wa Taifa Stars na lini anakuja Bongo
Kocha Mkuu mpya wa Taifa Stars, Martinus Ignatius Maria maarufu kama Mart Nooij anatarajiwa kuwasili nchini Jumamosi alfajiri (Aprili 26 mwaka huu) tayari kwa ajili ya kuanza kazi ya kuinoa…
Baada muda mrefu wa Abou Diaby nje ya game.
Meneja wa club ya Arsenal Arsene Wenger amethibitisha kwamba baada ya mwaka mmoja wa kukaa nje ya uwanja, mchezaji Abou Diaby ataonekana kwenye fainali za Premier League. Staa huyu wa…
Kuhusu bomu lililolipuka ndani ya gari Kenya April 23 2014.
Ripota wa TZA nchini Kenya Julius Kipkoitch anaripoti kwamba ni watu wanne wameuawa baada ya gari lilokua likielekeea katika kituo cha polisi cha Pangani kilometa mbili kutoka Eastleigh jijini Nairobi…
Huyu ni mtoto mwingine aliyebakwa,sikiliza kupitia Hekaheka ya leo hapa.
Matukio ya ukatili kwa watoto kila siku yamekua yakitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari huku wengine tukisikia kuwa pamoja na kufanya ukatili huo walikua bado wako uraiani,hili ni tukio lingine…
Hiki ni kitu kipya alichotaka kufanyiwa msichana na Rafiki wa Ney wa Mitego.
Hii inamhusu rafiki wa Ney wa Mitego ambaye inasemekana alijifanya ana kampuni ya kutengeneza filamu lakini ionawezekana nia yake haikuwa hiyo,hapa Gosip Cop Soud Brown ana ana-amplify taarifa hizi. 88.5…
Furaha ya shabiki mpaka mwilini… kisa Davis Moyes kafukuzwa.
Mwezi February kuna picha ya shabiki mmoja wa soka anayeishabikia Manchester United ilisambaa sana ikimuonyesha kajichora tatoo ya "MoyesOut" kwamba hataki kabisa David Moyes aendelee kuwa meneja wa timu anayoishabikia.…
Watu na rekodi zao, hawa wameamua kujirusha kutokea kwenye hili jengo refu duniani
Vince Reffet and Fred Fugen ndio wameivunja hii rekodi kwa kujitosa kuanzia juu ya jengo refu zaidi duniani kwa sasa liitwalo Burj Khalifa lenye gorofa 165 ambalo lipo Dubai
Dakika 22 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni leo April 24.
Kawaida ya millardayo.com ni baada ya kusoma vichwa mbalimbali vya Magazeti ya leo huwa ni tunakupa nafasi ya kusikiliza tena safari hii ukiwa unasomewa na kuchambuliwa kupitia kisehemu cha Kuperuzi…
Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo 24 04 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Alichokisema Jaji Warioba April 23 kwenye mkutano na waandishi wa habari wa Twaweza.
April 23 Asasi ya Twaweza kupitia ukumbi wa Makumbusho wa Taifa walikua na uzinduzi wa matokeo ya utafiti wa maoni kuhusu namna Watanzania wanavyoona uwakilishi wao katika bunge maalum la…