Alichosema Jux baada ya taarifa za kukutana na Jackie Cliff China na kufanya nae video
December 2013 zilitoka stori kwamba Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliewahi kutokea kwenye video kadhaa za wasanii wa bongofleva amekamatwa na dawa za kulevya huko China. Jackie Cliff ni…
Taarifa kuhusu Wakenya walioachiwa huru na Al Shabab.
Baada ya kutekwa nyara kwa muda wa miaka 3 wakenya wawili waliokua wakihudumia kwenye shirika moja la Kijamii la kutoa misaada wameachiwa huru,Wakenya hao ni James Gishoi mwenye miaka 53…
Picha 6 za mwanzo za mlipuko wa bomu Arusha jana usiku.
Usiku wa April 13 2014 kwenye baa iitwayo ‘Arusha night park’ iliyopo Mianzini Arusha ambayo siku zote ni miongoni mwa sehemu zinazokua na mkusanyiko wa watu wengi kuanzia jioni, limerushwa…
Hapa nimekuwekea Hekaheka ya Ijumaa yenye muendelezo wake Leo April 14.
Kutokana na sababu za kiufundi ambazo zilijitokeza Ijumaa sikufanikiwa kukuwekea Hekaheka lakini kwa sasa nipo tayari kukupatia ile ya Ijumaa ambayo ina muendelezo wake na ni leo Jumatatu pengine ili…
Umeyapata 8 ya Tundu Lissu, Wassira, Mtikila na Jussa leo bunge la katiba? yako hapa
Zifuatazo ni kauli zilizotolewa na viongozi mbalimbali wa zile kamati kwenye bunge la katiba linaloendelea sasa hivi hapa Dodoma (104.4 Clouds FM) ambapo viongozi hawa leo April 14 2014 wameendelea…
Hii ndiyo ratiba nzima ya maziko ya Mzee Gurumo.
Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo na mtoto wa kwanza wa Marehemu Mzee Gurumo Ndg Abdallah Gurumo amesema kuwa leo saa 10 jioni kutakuwa na kisomo hapa nyumbani kwa Marehemu eneo…
Dakika 10 za kusikiliza Magazeti yakisomwa Redioni April 14.
Nimekurekodia magazeti wakati yakisomwa na PJ kwenye kipindi cha Power Breakfast na kukuwekea hapa ni dakika 10 za uchambuzi huu wa Magazeti. Clouds Fm inapatikana kupitia 88.1 ukiwa Mwanza. Bonyeza…
Magazeti ya Leo April 14 2014 Udaku, Michezo na Hardnews
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Kama ilikupita, Azam FC ilivyochukua ubingwa.
Mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally ameanza kwa kuandika >> yametimia! hakuna kelele tena na Azam FC imefanikiwa kuweka rekodi mpya kwa kutwaa ubingwa wa Tanzania bara kwa mara…
BREAKING: Mkuu wa mkoa kuhusu bomu lililolipuka Arusha April 13 usiku, idadi ya waliojeruhiwa.
Usiku wa April 13 2014 kwenye baa iitwayo 'Arusha night park' iliyopo Mianzini Arusha ambayo siku zote ni miongoni mwa sehemu zinazokua na mkusanyiko wa watu wengi kuanzia jioni, limerushwa…