Breaking: Helikopta iliyoanguka Dar asubuhi April 13 ikiwa na viongozi
Helikopta waliyokua wakisafiria Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal, waziri wa ujenzi John Magufuli, Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Suleiman Kova na mkuu wa mkoa wa…
Instagram ilipotea online kama ilivyotokea kwa Whatsapp
Application ya Instagram jana ilikua down kwa muda usiopungua saa moja ambapo watu walikuwa hawawezi ku-post picha zao au load picha zilizopo online. Ndani ya muda wa saa moja ilikua…
Hiki ndicho kichwa kipya toka Tip Top Connection.
Unaposikia jina la Ray linaweza kuwa sio geni kwa wewe uliyekua mfatiliaji wa mashindano ya Freestyle yaliyokua yakiendeshwa na Dj Fetty kupitia msimu wa Fiesta,Ray ni kijana kutoka 87.8 Mbeya…
Magazeti ya leo Jumapili April 13 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya Wigan vs Arsenal na video ya magoli.
Ni game ya FA Cup ambapo April 12 2014 ambayo imewapa nafasi Arsenal kufika fainali baada ya kutoka droo kwenye goli walilosawazisha kwenye kipindi cha pili huku matokeo yakiwa 1-1.
Pichaz nyingine za mafuriko yaliyotokea April 12 Jangwani Dar na kwengine.
Hii ndiyo hali halisi iliyopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam baada ya mvua iliyonyesha siku nzima yas leo April 12,millardayo.com imepita baadhi ya maeneo kama ya…
Taarifa ya Polisi kuhusu idadi ya waliofariki Dar kutokana na hizi mvua.
Kutokana na mvua zinazonyesha hivi sasa kwenye jiji la Dar es salaam pamoja na kusababisha mambo mengi kusimama, miundombinu kuharibika hasa madaraja yanayounganisha njia kuu, pia zimesababisha vifo vya watu…
Picha tatu za Jux akifanya video ya ‘nitasubiri’ huko China
Msanii Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya "nitasubiri" ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo…
Video ya dakika 1 na sekunde 28 ya Ray C studio akirekodi wimbo mpya
Ni kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha. Legendary…
Video mpya ya Queen Darleen ‘wanatetemeka’ Diamond, Shilole na wengine ndani
Hii ni video iliyowahusisha Diamond Platnumz na dada yake wa damu Queen Darlin ambapo sasa imeachiwa kwa Watanzania, bonyeza play hapa chini kuitazama.