Masanja Mkandamizaji kuhusu wife/husband material, UDOM, Arsenal na Mbunge mgonjwa.
Ni mchekeshaji wa TV ambae hautaishia kucheka ukimtazama kwenye TV bali hata mtandaoni, ni miongoni mwa mastaa wa bongo wenye followers wengi mitandaoni nchini Tanzania. Unacho cha kuongezea kwenye hizi…
Alichosema rapper Bamboo wa Kenya kuhusu Diamond Platnumz
Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae ni dada wa rapper Bamboo, rapper huyu alisema Diamond…
Sikiliza muendelezo wa You heard inayomhusu yule tapeli aliyejifanya ndugu wa Geez Mabovu
Wiki iliyopita Soud Brown alipata taarifa ya kuhusu yule taperi aliyekuwa akijifanya ni mdogo wake Geez Mabovu ambaye alikua akikusanya pesa kwa madai ya kwenda kumtibia kaka yake ambae ni…
Huu ndio uamuzi mgumu aliotaka kuuchukua Cannavaro baada ya mechi ya Simba
BEKI na nahodha wa Yanga Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amefichua siri kwamba alikuwa katika wakati mgumu katikati ya msimu huu ambapo ilikuwa kidogo aachane na soka. Akizungumza na Mwanaspoti Cannavaro alisema…
Hili ndio sharti alilotoa kocha wa Yanga kwa Manji ili aendelee kubaki Jangwani
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans Pluijm amesema yupo tayari kuongeza mkataba lakini akamtaka mwenyekiti wa klabu hiyo Yusuf Manji kufuta mpango wake wa kutogombea tena kwenye uchaguzi ujao. Akizungumza na…
Eti wanawake wanasababisha ajali nyingi barabarani zaidi ya wanaume?
Swali litakaloleta utata kwenye majibu ni kwamba kati ya wanawake na wanaume ni jinsia gani huwa wanaendesha magari yao vibaya na kusababisha ajali? Uchunguzi uliofanywa na chuo kikuu cha Michigan…
Rekodi nyingine aliyoiweka Messi kwenye soka.
Huyu ni mshambuliaji wa FC Barcelona ambae jana aliweka rekodi nyingine kubwa kwenye mechi nchini Hispania. Jana usiku Lionel Messi alifunga magoli 3 kati ya manne kwenye ushindi wa 4-3…
Sikiliza Hekaheka ya leo March 24.
Maktaba ya uswahilini na mitaani kupitia Hekaheka ya leo zina-amplify taarifa za dada aliyekua akihamisha maneno kutoka anapoishi na kuyapeleka upande wa pili kwa lugha nyepesi anaitwa Mbeya ,sikiliza kilichomkuta…
Picha 3 za jinsi uwanja wa timu ya David Beckham utakavyokua, mpaka na night club ndani.
Picha za kwanza muundo wa uwanja wa soka utakaokuwa ukitumiwa na timu mpya inayomilikiwa na David Beckham zimetoka ambapo utakua ni uwanja unaoweza kuingiza watu elfu ishirini na tano na…
Picha za zawadi Drake alizopewa na wachezaji wa Liverpool na Manchester City.
Drake ambae ni rapper kutoka Canada anayeiwakilisha label ya Young money weekend hii alikuwa nchini Uingereza kwenye tour yake ya Ulaya. Drake ambaye ana umri wa miaka 27, usiku wa…