Kuhusu Mkurugenzi aliefutwa kazi Maliasili.
Wizara ya maliasili na Utalii imemfuta kazi mkurugenzi wa bodi ya utalii Tanzania dokta Aloyce Nzuki kwa kutokuwa na imani nae pamoja na utendaji usioridhisha. Hii imekuja baada ya kikao…
Mzigo wa Jaguar toka Kenya mpaka Burundi. @RealJaguarKenya
Ni show ambayo ilifanyika kwenye uwanja wa mpira unaitwa Nyakabiga huko Burundi ambapo staa huyu wa Kenya ameendelea kuvunja rekodi yake ya kupata watu wengi kwenye shows huku hii ya…
Wale wa Chris Brown hii ni video yake mpya akiwa na Lil Wayne na Tyga.
Licha ya Chris Brown kuwa jela akitumikia kifungo chake cha mwezi mmoja kazi zake za kimuziki bado zinaendelea ambapo imedondoshwa video yake mpya kutoka kwenye album yake 'X' ambayo inatarajiwa…
Picha 4 alizoweka Ray C kwenye instagram na alichoandika.
Hili ni gazeti lililotoka November 2 2012 ambapo lilitoa picha za Ray C alizopigwa muda mfupi baada ya kutumia dawa za kulevya baada ya kunaswa na Mapaparazi. Baada ya kuweka…
Stori 10 za AMPLIFAYA March 24 2014
Amplifaya ni show ambayo inasikika kupitia Clouds FM Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa moja usiku ikihusika kutoa stori zote kumi kubwa za siku za siasa, muziki, michezo, movies, maisha na…
Video ya behind the scene jinsi Kanye West, Kim K na mtoto wao wakipiga picha za Vogue Magazine
Moja ya cover za magazine zinazomiliki headlines hivi sasa ni hii cover ya Vogue ambayo Kim Kardashian ametokea na mpenzi wake Kanye West wakiwa kwenye mavazi ya harusi. Hii hapa…
Ndege ya Malaysia Airlines ilidondoka kusini mwa bahari ya hindi
Baada ya uchunguzi wa muda mrefu kuitafuta ndege ambayo ilidhaniwa kuwa imepotea au kupatwa na matatizo mengine baada ya kushindwa kufika sehemu iliyotakiwa kwa wakati, taarifa za uchunguzi mpya zilizotangazwa…
Masanja Mkandamizaji kuhusu wife/husband material, UDOM, Arsenal na Mbunge mgonjwa.
Ni mchekeshaji wa TV ambae hautaishia kucheka ukimtazama kwenye TV bali hata mtandaoni, ni miongoni mwa mastaa wa bongo wenye followers wengi mitandaoni nchini Tanzania. Unacho cha kuongezea kwenye hizi…
Alichosema rapper Bamboo wa Kenya kuhusu Diamond Platnumz
Imeshawahi kuandikwa baada ya stori kusambaa kwamba mwimbaji mtanzania Diamond Platnumz ana uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji Mkenya Victoria Kimani ambae ni dada wa rapper Bamboo, rapper huyu alisema Diamond…
Sikiliza muendelezo wa You heard inayomhusu yule tapeli aliyejifanya ndugu wa Geez Mabovu
Wiki iliyopita Soud Brown alipata taarifa ya kuhusu yule taperi aliyekuwa akijifanya ni mdogo wake Geez Mabovu ambaye alikua akikusanya pesa kwa madai ya kwenda kumtibia kaka yake ambae ni…