Magazeti ya leo Jumatatu March 24 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania.
Matokeo ya Real Madrid vs Barcelona march 23 2014
Kazi nyingine inayofanywa na millardayo.com ni kukupa info kuhusu matokeo ya mechi mbalimbali za soka duniani ambapo post hii ni maalum kwa ajili ya Real Madrid vs Barcelona.
Simba v/s Coastal Union,Azam v/s Jkt Oljoro matokeo yake yapo hapa.
Mechi kati ya Simba na Azam imekamilika kwenye uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam ambayo imekamilika kwa ushindi wa Coastal Union walioshinda 1-0 dhidi ya timu ya Simba. Simba…
Vipande vya video kutoka kwa @ommydimpoz aki-shoot video na akirekodi wimbo na @VICTORIA_KIMANI na @diamondplatnumz
Ommy Dimpoz anaendelea kutoa picha na vipande vya video alipokuwa London aki-shoot video na director Moe Mussa. Kwenye hii video unaweza kuona camera walizokuwa wanazitumia ku-shoot video hii, pia video…
Mauaji yafanyika kanisani huko Mombasa.
Leo hii jumapili tarehe 23/3 watu kadhaa ambao wanasadikika kuwa ni magaidi wamevamia kanisa moja linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church huko Mombasa na kuanza kupiga risasi kanisani hapo.…
Kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya leo tarehe 23/3/2014
Hivi ndivyo zinavyoonekana kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti yaliyotoka leo Jumapili tarehe 23/3/2014
Unaambiwa Chris Brown hali wala halali huko jela.
Chris Brown baada ya kuvunja sheria za rehab alifukuzwa na baadae kukamatwa, hivi sasa amewekwa jela kwa muda wa mwezi mmoja. Mtandao mmoja wa huko Marekani umeripoti kwamba Chris Brown…
Picha 15 za harusi ya Paul wa P Square na Anita Isama
Baada ya pacha wake kufunga ndoa, hivi sasa ni zamu ya Paul Okoye ambaye amefunga ndoa ya kimila na mchumba wake wa muda mrefu Anita Isama. Paul na Anita wana…
Saa chache baada ya hotuba ya Rais Kikwete,hiki ndicho walichokisema vyama vya upinzani.
Wenyeviti wa vyama vya Upinzani kutoka Chadema,Chama cha Wananchi (CUF) na Chama cha NCCR-Mageuzi, jana usiku March 21 mara baada ya hotuba ya Rais March walikutana ili kutoa kauli ya…
Baada ya Chelsea na Liverpool kushinda sita, hizi ndizo walizoshinda Man united.
Baada ya watani wao wa jadi kupata kipigo cha magoli sita kutoka kwa Chelsea, Man united wamemaliza siku yao ya jumamosi kwa ushindi huu dhidi ya West Ham United.