Hii ndiyo zawadi ya birthday aliyopewa Cristiano Ronaldo kutoka kwa Zlatan Ibrahimovic.
Cristiano Ronaldo ametimiza miaka 29 na ana kila sababu ya kusherekea maisha yake yenye mafanikio kwenye kazi yake anayofanya ukizingatia ametoka kushinda Ballon D'or. Sasa basi kama kawaida ya birthday…
Baada ya Mbeya City, Niyonzima sasa aipania timu hii…..
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga Haruna Niyonzima aka Fabregas amesema baada ya kuwanyoosha timu ngumu ya Mbeya City na kuvunja rekodi yao ya kutokufungwa katika ligi kuu ya Vodacom,…
Ulisikia kuhusu Clouds TV International? kutana na picha na maelezo
Kwenye semina ya fursa mwishoni mwa 2013 Dar es salaam ambayo mgeni rasmi alikua Rais Kikwete, Managing Director wa Clouds Media group Joseph Kusaga alitangaza kuhusu Clouds media group kupata…
Wale wa Hekaheka hii hapa ya leo February 06 kuhusu dada aliyevamiwa kwake.
Inawezekana ikawa ni moja kati ya mtiririko wa story znazotokea mitaani kuhusu wizi wa aina mbalimbali,msikilize mjasiriamali huyu kike namna alivyofanyiwa vituko na wezi mtaani kwake,sikiliza kupitia 104.1 Clouds Fm…
Taarifa za mgodi uliowaka moto na kuwafunika wafanyazi chini ya ardhi.
Moto ulizuka katika mgodi siku ya Jumanne umbali wa mita 1,700 chini ya ardhi na kusababisha vipande vya mgodi huo kudondoka na kuwaangukia wafanyakazi waliokua kazini siku hiyo. Hadi sasa…
Unayataka magoli ya FC Barcelona vs Real Sociedad? yako hapa
Mpaka mwisho wa mchezo game ilitoka Barcelona 2 - 0 Real Sociedad, magoli ambayo yote yanaonekana kwenye hii video hapa chini All Goals - Barcelona 2-0 Real Sociedad - 05-02...…
Hapa kuna namba za vocha za Vodacom za elfu tano tano, ukiwahi ni zawadi yako mtu wangu
Kila wakati hapa millardayo.com kutakua kunatolewa zawadi za vitu mbalimbali sio vocha tu so ukiwa unapita mara kwa mara unaweza kuwa miongoni mwa washindi. Zoezi hili la vocha litakua linafanyika…
Usa River Arusha, NMB wapo na nyie kuanzia sasa.
Ni furaha kubwa kuona benki inayokuhudumia imefungua tawi pembeni ya nyumba yako au mazingira unayoishi... najua sasa hivi watu wangu wa Maji ya chai, King'ori, Kikatiti, Makumira, Tengeru na maeneo…
Utumie muda wako huu kusikiliza magazeti yakisomwa Redioni.
Baada ya kuwa umepitia vichwa vya habari kwenye magazeti mbalimbali ya leo,hii nafasi nyingine kwako mtu wangu wa nguvu kusikiliza jinsi magazeti hayo yanavyochambuliwa kupitia Power Breakfast,sikiliza kupitia 88.1 Clouds…
Magazeti ya leo February 06 2014
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…