Chelsea vs Man City – Arsenal vs Liverpool kombe la FA raundi ya tano
Chelsea wamepangiwa kucheza na Manchester City katika mchezo unaotazimiwa na ushindani wa hali ya juu katika mfululizo wa michuano ya kombe la FA Cup. Chelsea ambao wamefuzu kwenye raundi ya…
kuhusu alichokizungumza Mtangazaji Ufoo saro kanisani.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV Ufoo Saro ambaye Oktoba 13 zilisambaa taarifa zinazomhusu yeye na familia yake,taarifa hizi zilikuwa za kupigwa risasi na kujeruhiwa na mzazi mwenzake Anthery…
Matokeo ya Simba na Rhino Rangers haya hapa.
Mechi kati Simba na Rhino Rangers imemalizika kwa ushindi wa goli 1 la Simba dhidi ya 0 kwa Rhino Rangers kwenye mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania…
Hiki ndicho kilichojiri kwenye sherehe za miaka 5 ya Club Kakala Kigamboni.
January 25 Wananchi wa Dar es salaam wakiongozwa na wale wa Kigamboni waliparty kwa pamoja ndani ya Club Kakala,sherehe hizi zilienda sawa pamoja na show ya iliyofanywa na Rich mavoko…
Wewe ni mpenzi wa Chelsea? Hii barua ya Juan Mata inakuhusu
Hi everyone, As you can imagine this is a very important day in my life, and with these lines I would like to express the memories and emotions that come…
Breaking:Madereva wa malori wafunga barabara Tabora.
Taarifa iliyotufikia asubuhi hii inasema malori zaidi ya 40 yamezuia njia kufuatia tukio la kutekwa kwa madereva wenzao watatu wa malori na majambazi kisha kukatwa mapanga,na inasemekana baada ya tukio…
Rasmi – Juan Mata ni mchezaji wa Manchester United
Manchester United imekamilisha rasmi usajili wa kiungo Juan Mata kutoka Chelsea kwa ada ya usajili ya £37.1 million, ambayo ni rekodi mpya katika usajili wa United, klabu hiyo imethibitisha. Mata,…
Cristiano Ronaldo alipoionyesha tuzo ya Ballon d’Or mbele ya mashabiki zaidi ya 80,000 wa Real Madrid
Mchana wa leo katika dimba la Santiago Bernabeu mwanasoka bora wa dunia, Cristiano Ronaldo aliionyesha kwa mara ya kwanza tuzo yake ya Ballon D'or kwa mashabiki zaidi ya 80,000 waliojazana…
Hii ni miongoni mwa kero kubwa katika hili jiji la Dar.
Jiji la Dar lina vitu vingi sana vya kuvutia na vingine vinavyochukiza,kwa haraka haraka endapo ukimuuliza mtu anayeishi Dar kitu gani anatamani kiondolewe kwa haraka pengine anaweza kupa kipaumbele cha…