Stori mpya kuhusu beef ya Rick Ross na Young Jeezy
Najua kwenye headlines za hiphop miongoni mwa stori kubwa za beef ilikua ni hii ya Rick Ross na Young Jeezy lakini kwa sasa beef imeisha. Rick Ross na Young Jeezy…
Huyu mtoto ana miaka miwili tu na ameanza hii akiwa na miezi sita
Siku hizi teknolojia imetuwezesha sana kupata matukio mengi ya aina yake na kwa haraka zaidi ambapo watoto pia wamekua sehemu ya tunavyokutana navyo mtandaoni. Huyu mtoto kutoka Victoria Australia anaitwa…
Magazeti ya leo January 25 2014 ya Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Walioumizwa kwenye ile ajali ya helicopter Scotland.
Kampuni iliyokua ikioparate helicopter ya Polisi Scotland ambayo imeanguka kwenye baa moja huko Glasgow na kuua watu kumi, imeanza kufanya malipo kwa waathirika na familia zao huku wakisema 'The interim…
Msikilize Mbwiga leo Jan 24
Zitumie hizi dakika 4 kumsikiliza Mbwiga wa Mbwiguke akiwa live studio akiongelea michezo,na kutolea mfano wa timu moja ambayo kwa sasa wameingia Mgogoro na msikilize kupitia 87.9 Clouds Fm Moshi.…
Kama unaishi Dar,si vibaya week end hii ukaitumia kuvuka maji hadi Kigamboni.
Mara nyingi huwa sishangai mtu anapotoka Kinondoni kuelekea labda Tegeta kwa ajili ya kwenda kufurahia wee end yake,na kuna mwingine anatoka labda Gongolamboto anaenda Masaki kuparty sasa jaribu kuitumia week…
Nimeweka namba za vocha ya elfu 10 ya vodacom hapa kwa atakaewahi aisee
Hii ni mara ya pili naweka zawadi ya vocha hapa millardayo.com na ni kutimiza ahadi kwamba mara kwa mara nitakua naweka vocha mbalimbali kwa ajili ya kila mtu wa nguvu…
Wenzetu wana barabara nzuri lakini ajali kama hizi huwa zina wagharimu sana.
Ajali imetokea huko Indiana Marekani… ni kwenye hizi barabara za kisasa ambazo nyingine zinaruhusu mpaka magari kuanzia manne kwenda mwelekeo mmoja lakini ikitokea mmoja akahama njia ghafla au akapinduka,…
Umeliona gari jipya la Jux mwimbaji wa bongofleva? picha 14 ziko hapa
Mwaka 2014 umeanza kwa Wasanii kadhaa wa bongofleva wakiwemo wa zamani na wa sasa kuonyesha mali zao kama magari pamoja na nyumba wanazomiliki au wanazozijenga. Post ya leo inamuhusu Jux…
Hii ni ya shabiki wa Manchester United aliepiga simu polisi
Mlevi mmoja huko Uingereza ambae ni shabiki wa Manchester United amepiga simu 999 akiagiza kwamba anataka kuongea na kocha aliepita ambae ni Sir Alex Ferguson kuhusu matokeo ya mechi…