Katika hizi picha 7 za vituko kutoka facebook, ipi imetisha?
Mtandao wa kijamii wa facebook, ni mtandao ambao unaweza kuupa nafasi ya dakika 10 na ukajionea vitu tofautitofauti zikiwemo habari, matukio mbalimbali na vituko au vichekesho pia. Hizi ni sehemu…
Na huyu ndio mrembo anaedai kuwa na ujauzito wa Davido
Hii sio mara ya kwanza kusikia kajitokeza binti flani na kudai kazaa au ana ujauzito na staa flani wa muziki, movie, siasa au kingine chochote. Sasa yule staa wa Nigeria…
Za facebook na twitter fastafasta!
Kuna uwezekano ukawa haupo kwenye mtandao wowote wa kijamii kama facebook na twitter ndio maana kazi yangu mtu wako wa nguvu ni kuhakikisha haupitwi na stori yeyote. Ili kuwa mwanafamilia…
Ulimis Interview ya Kim Kardashian aliyomuonyesha na mtoto wake?
Najua hata Tanzania Kim Kardashian ana mashabiki wake pia ndio maana hii post inamuhusu huyu mpenzi wa rapper Kanye West alipokua anahojiwa kwenye show ya Ellen na kumzungumzia mtoto wake…
Tumia dakika 17 kusikiliza hapa Magazeti ya leo Jan 20 yakisomwa Redioni.
Zitumie dakika hizi 17 kusikiliza kilichoandikwa kwenye kurasa mbalimbali za magazeti ya leo January 20 ambayo yanasomwa na Paul James 'PJ' kutoka kwenye show ya Power Breakfast Clouds FM ambayo…
Magazeti ya leo na stori zake kubwa za Udaku, Michezo na Hardnews
Kila siku hapa millardayo.com huwa naweka magazeti ya siku husika, kuanzia udaku michezo na hardnews nikiamini kwamba wakati mwingine unaweza kuwa mbali na yanakopatikana au yakawa yanachelewa kukufikia asubuhi. Lengo…
Ya huyu mlevi akitaja sheria za pombe uliiona?
Japo ni kipisi nimekipata, post hii acha imilikiwe na huyu mlevi ambae video yake ni miongoni mwa video za kibongo ambazo watu wanarushiana sana kwenye simu....... jamaa haoni tabu kukupa…
Kama uliikosa mechi ya Chelsea vs Man UTD Jan 19, nimekuletea hii video ya magoli yote
Samuel Eto'o ndio alizifunga goli zote tatu za Chelsea kwenye mechi na Manchester United January 19 2014 ambapo wakali wa Moyes walifunga moja tu. Kuna uwezekano hukupata nafasi ya kutazama…
Kwa wale wa Flora Mbasha.
Kwenye rekodi ya Tanzania, huyu ni miongoni mwa mastaa wachache sana wa muziki wa Injili ambao wamewahi kuvunja rekodi ya nyimbo zao kuchezwa sana kwenye redio hata zisizo za dini.…
Kwahiyo hii ndio katuni nyingine maarufu ya kiswahili kuhusu Manchester United sio?
Basi baada ya mechi ya Chelsea vs Manchester United January 19 2014 ambapo ushindi ulichukuliwa na Chelsea kwa 3 -1 wafungaji wakiwa ni ( Eto'o 17' 45' 49' na moja…