Michezo

AC Milan inamuhitaji tena Prince Boateng? haya ndio maamuzi yao..

on

Klabu ya AC Milan imemrudisha kiungo wao Kevin Prince Boateng kuendelea kukitumikia kikosi hicho kwa mkataba wa miezi sita ambao utaisha Juni 30, 2016.

Boateng ambaye amezichezea klabu za Tottenham na Portsmouth mwaka 2013 alijiunga na klabu ya Schalke kwa dau la Euro milioni 10.

Kiungo huyo alisimamishwa kucheza kwa muda usiojulikana na klabu hiyo ya Ujerumani tangu mwezi Mei, 2015 na amekuwa akifanya mazoezi na klabu hiyo ya Italia tangu Septemba.

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments